Siku moja na Sir Andy Chande

Siku moja na Sir Andy Chande

Ama kweli kila kitabu na zama zake,saa hizi ukiyataja hayo majina utaulizwa hao ndio nani?pia kweny enzi hizo alikuwepo marehemu Ipi Malecela ,da jamaa walitikisa Dar na walikula bata sana.

Kwny Msiba wa Ipi Malecela aliefariki Muda Mchache kabla hajapigiwa kura kwny Uchaguzi wa UV CCM waombolezaji walikuwa wanalia CCM imeua ikabid Mzee Malecela achague Chama au Mtoto ikabidi achague Chama!
 
Don't judge a person whom you have never met nor have anything to do with
You have a big flat ZERO knowledge of beliefs and activities
Mkuu hawa ni wale walioaminishwa kwamba Freemason ni kit kibaya halafu eti wanachama wake ni wapuuzi Kama Diamond.
 
William...
Una haraka sana.
Soma maelezo yangu kwa utulivu.

Nimekueleza kuwa idarani tulikuwa watu wawili tu.
Hii ilikwa mwaka wa 1993.

Sababu ndiyo iliyonifanya mimi kukaimu kwani isingewezekana kuacha nafasi bila mtu wa kukaimu.

Hakika mimi nilikuwa Idara ya Insurance lakini nilihamishwa idara hiyo nikapelekwa Idara ya Biashara.

Nikahamishwa tena Idara ya Biashara nikapelekwa Idara ya Masoko.

Hili la mujahid sijui linakuja vipi hapa.
Ikiwa una maana nilipata kazi kwa Uislam wangu basi hii ni barabara ya njia mbili.

Lazima wawepo na wa dini nyingine ambao nao wamenufaika kwa dini yao.

Kuhusu Cairo Road nifafanulie nikupe jibu.
Binafsi nimefika Cairo mara mbili 1988 na 1991 lakini sina kumbukumbu ya mtaa huo.
Mohamed: KURUGENZI ya marketing Harbours 1993 haikuwa na watu wawili; hakuna duniani ukakuta kurugenzi nzima ikawa na watu wawili.

Kama kweli mlikuwa wawili hapo nitakubaliana na wewe lakini usingesema Dau "alikuteua" ukaimu nafasi yake: he would have had no choice (Kimombo hicho wee na Kimanyema chako).

Kama kweli mlibaki wawili basi ulichofanya ni sawa kabisa, ni kama alichofanya Jaji Jecha: ukiona nyumba inawaka na wewe ni peke yako mwenye madaraka, ni wajibu wako kuchukua hatua moto usiwake.

La umjaheedina niwie radhi; mimi nimelisema kwa utani kidogo nikijua jinsi wewe ulivyo "siasa kali" inayodhihirisha kitabu chako cha Abdulwaheed; ni kitabu kizuri sana sijaona kama hiko. Kuna mchele na chuya ndani yake, to be sure, lakini ni must-read kwa kila Mtanzania mwenye mapenzi na nchi yake.

Cairo Road ni Samora Avenue ya mjini Lusaka, nilikuwa nauliza ile delegation yako mlifikia wapi. Ile picha yako na Maswanya of course ndiyo Cairo UAR.

Naona niishie hapo tuendelee kumwombea Mar. Chande, Mola wetu amfungulie uso wake. Mimi ni mtu wa Bukene tuna Wahindi na Waarabu wengi tu tumeishi nao vizuri. Haya mambo ya freemason wala hayatuingii akilini. He was a good man.
 
Sijui nini kinakuchonyota.
Una pupa ya kujibu unapoteza umakini wa kuzingatia unayoelezwa.

Mimi 1992 nilipewa uhamisho kutoa Idara ya Biashara kwenda Masoko
ili kumsaidia Mkurugenzi wa Masoko katika idara mpya.

Kabla ya 1992 Bandari hapakuwa na Idara ya Masoko.
Hii ndiyo iliyosabisha mimi kuwa mtu wa pili katika hiyo idara.

Hiyo, ''kuteua,'' kama inakuudhi weka neno lolote unaloona wewe linafaa.

Lakini utaratibu ulikuwa mkuu wa idara anapokuwa hayupo anateua mtu
chini yake kukaimu nafasi yake.

Lusaka tulifikia nyumba ya TAZARA pamoja na Assistant Director General
wetu.

Hilo la Mujahid wala huna haja ya kunitaka radhi.
Ila nitakueleza jambo.

Kuna watu kila wanaposoma Qur'an wakifika hapo Allah anapowataja Mujahidina
wao hutokwa na machozi.

Kwa nini wanalia?

Hapo Allah anawataja wale wanaopigana kwa nafsi zao na mali zao ili jina lake
liwe juu.

Mimi sijafikia darja hiyo na niko katika mwisho wa maisha yangu.
Ningependa sana niwe katika hao lakini Allah hajanijaalia.

Hiyo picha ya Maswanya si mimi hiyo picha ni ya Abdul Sykes ilipigwa Cairo 1964.
Angalia picha yangu nikiwa Movenpick Hotel Heliopolis Cairo 1991.

Isikupitikie kuwa hii safari ilikuwa ya kikazi.

La hasha hapo Cairo nilikuwa likizo naelekea Glasgow via London likizo kumtembelea
kaka yangu.

Kuna kisa kizuri Heathrow Airport Terminal Four na watu wa Immigration
nilipowaambia nimekuja Uingereza likizo.

Iko siku In Shaa Allah nitakihadithia.

ut3SamjHq1774Jou4F2PmQz2XUBrTUgYMEFXAVDcedLrC-nqNmeKJONlCiJM4ujpQsHUlMWOXpSTFqP8xoOYm5SPPYDSD-tQyRaBmTwbgWgVKooI1NAMDVaFClKDEpPQIawETwwd8xVoocdajTUKMDCUN1vazvFl0WxLH2omjB5GmfX2JF0mFiVqcTIHpH0G8lAiKDybVZZbkEqyoP250l2HxyTjODfH6kkPnyTh_3t63hU92lm1T23i5Utccqw4NAvApZnYRC8wQeSUfL5apjaQh4umsHVQ2FgTG9VzY8XW_dzRxj7Ds9ZIPo2Vo2A1jiUcUAtFfj4OLkqKUp08sU5SAdAcxXmAFicWwDm2rv3aTSsrB3k_YClahxS82UMd2CASv6VYSwh2agSY9D3GB0SHR7rZk2itqMpOXyH4CCqNf6KE_zLy-bmtDFWe-Sefx9kayqnwQqM71ztHU5ayXi27Lo4YFVwM6DMrB-89tLoOJw6SvZdDlMZtUFlvGlkZVweRRx9ExvGupV09xONP8j5t8PTqpQh51-etrUf4vrfg1t_4rVuNv_cBwX4I0BYtk8T5C6aihFU74kvi5n3Qv98AXiE1LohehXt3tHzmO3wLA0Gz_Q=w928-h696-no

Namaliza kwa kukueleza kuwa zile ''transfer,'' nilizokuwa nikipewa kutoka idara moja
kwenda nyingine zilinisaidia sana katika kazi kwani kila idara mpya nilikopelekwa
wakubwa zangu wakinipeleka mafunzoni.

Hivi ndivyo nikajaaliwa kupita kwingi:
Port Management and Maritime Transportation-Arab Maritime Transportation Academy, Alexandria, Egypt
Workshop in International Trade and Facilitation-Tanzania/Kenya
Leadership Course- Khartoum/Omdurman, Sudan
Transport Policy and Planning in Sub Saharan Africa - Maputo, Mozambique
Maritime Studies, Cardiff Wales
Port Administration- Tilbury Port, London UK
Management Information System- Dar es Salaam,Tanzania
Marketing Management - Harare, Zimbabwe
Port Competition - Institut Portuaire du Havre, Le Havre, France
Success through Effective Marketing, Institute of Customer Services, Nairobi, Kenya.
Customer Care, Corporate Excellency Company Ltd, Paradise Holiday Resort, Bagamoyo.

Kitabu cha Abdul Sykes...
Sikutegemea hata kidogo wakati nakiandika kuwa wengi kitakuchomeni.
 
Sijaelewa hii story maudhui yake nini ?

Mkuu:
Hii ni kumbukizi, ikiambatana na tanzia ya Hayati Sir Andy Chande.
Ni vyema ungeisoma kwa mtazamo wa kujifunza kutoka kwa walio tangulia.
 
Kwny Msiba wa Ipi Malecela aliefariki Muda Mchache kabla hajapigiwa kura kwny Uchaguzi wa UV CCM waombolezaji walikuwa wanalia CCM imeua ikabid Mzee Malecela achague Chama au Mtoto ikabidi achague Chama!
Yeah...kulikuwa na maneno ya kihivyo...na kifo chake kilitokea ghafla!
 
William...
Sijui nini kinakuchonyota.
Una pupa ya kujibu unapoteza umakini wa kuzingatia unayoelezwa.

Mimi 1992 nilipewa uhamisho kutoa Idara ya Biashara kwenda Masoko
ili kumsaidia Mkurugenzi wa Masoko katika idara mpya.

Kabla ya 1992 Bandari hapakuwa na Idara ya Masoko.
Hii ndiyo iliyosabisha mimi kuwa mtu wa pili katika hiyo idara.

Hiyo, ''kuteua,'' kama inakuudhi weka neno lolote unaloona wewe linafaa.

Lakini utaratibu ulikuwa mkuu wa idara anapokuwa hayupo anateua mtu
chini yake kukaimu nafasi yake.

Lusaka tulifikia nyumba ya TAZARA pamoja na Assistant Director General
wetu.

Hilo la Mujahid wala huna haja ya kunitaka radhi.
Ila nitakueleza jambo.

Kuna watu kila wanaposoma Qur'an wakifika hapo Allah anapowataja Mujahidna
wao hutokwa na machozi.

Kwa nini wanalia?

Hapo Allah anawataja wale wanaopigana kwa nafsi zao na mali zao na jina lake
liwe juu.

Mimi sijafikia darja hilo na niko katika mwisho wa maisha yangu.
Ningependa sana niwe katika hao lakini Allah hajanijaalia.

Hiyo picha ya Maswanya si mimi hiyo picha ni ya Abdul Sykes ilipigwa Cairo 1964.
Angalia picha yangu nikiwa Movenpick Hotel Heliopolis Cairo 1991.

Isikupitikie kuwa hii safari ilikuwa ya kikazi.

La hasha hapo Cairo nilikuwa likizo naelekea Glasgow via London likizo kumtembelea
kaka yangu.

Kuna kisa kizuri Heathrow Airport Terminal Four na watu wa Immigration
nilipowaambia nimekuja Uingereza likizo.

Iko siku In Shaa Allah nitakihadithia.

ut3SamjHq1774Jou4F2PmQz2XUBrTUgYMEFXAVDcedLrC-nqNmeKJONlCiJM4ujpQsHUlMWOXpSTFqP8xoOYm5SPPYDSD-tQyRaBmTwbgWgVKooI1NAMDVaFClKDEpPQIawETwwd8xVoocdajTUKMDCUN1vazvFl0WxLH2omjB5GmfX2JF0mFiVqcTIHpH0G8lAiKDybVZZbkEqyoP250l2HxyTjODfH6kkPnyTh_3t63hU92lm1T23i5Utccqw4NAvApZnYRC8wQeSUfL5apjaQh4umsHVQ2FgTG9VzY8XW_dzRxj7Ds9ZIPo2Vo2A1jiUcUAtFfj4OLkqKUp08sU5SAdAcxXmAFicWwDm2rv3aTSsrB3k_YClahxS82UMd2CASv6VYSwh2agSY9D3GB0SHR7rZk2itqMpOXyH4CCqNf6KE_zLy-bmtDFWe-Sefx9kayqnwQqM71ztHU5ayXi27Lo4YFVwM6DMrB-89tLoOJw6SvZdDlMZtUFlvGlkZVweRRx9ExvGupV09xONP8j5t8PTqpQh51-etrUf4vrfg1t_4rVuNv_cBwX4I0BYtk8T5C6aihFU74kvi5n3Qv98AXiE1LohehXt3tHzmO3wLA0Gz_Q=w928-h696-no

Namaliza kwa kukueleza kuwa zile ''transfer,'' nilizokuwa nikipewa kutoka idara moja
kwenda nyingine zilinisaidia sana katika kazi kwani kila idara mpya nilikopelekwa
wakubwa zangu wakinipeleka mafunzoni.

Hivi ndivyo nikajaaliwa kupita kwingi:
Port Management and Maritime Transportation-Arab Maritime Transportation Academy, Alexandria, Egypt
Workshop in International Trade and Facilitation-Tanzania/Kenya
Leadership Course- Khartoum/Omdurman, Sudan
Transport Policy and Planning in Sub Saharan Africa - Maputo, Mozambique
Maritime Studies, Cardiff Wales
Port Administration- Tilbury Port, London UK
Management Information System- Dar es Salaam,Tanzania
Marketing Management - Harare, Zimbabwe
Port Competition - Institut Portuaire du Havre, Le Havre, France
Success through Effective Marketing, Institute of Customer Services, Nairobi, Kenya.
Customer Care, Corporate Excellency Company Ltd, Paradise Holiday Resort, Bagamoyo.

Kitabu cha Abdul Sykes...
Sikutegemea hata kidogo wakati nakiandika kuwa wengi kitakuchomeni.
Mwl..!
Nahisi kuna watu wanakuletea mashkhara ya babu na wajukuu zake sasa...
 
Mohamed: bahati mbaya (nzuri?) wewe sikujui lakini Janguo na Dau na Chande nawajua. Kama Dau alikukabidhi madaraka itakuwa ni kwa kukupenda mujaheedina mwenziye na si vinginevyo. Cairo Road mlienda kufanya nini?

Directorate ya Marketing nawajua maafisa si china ya 5 waliokuzidi (nasema walikuzidi kwa vile setup yake ninaijua na wewe si mmojawapo. Kwenye ngazi iliyofuata chini yao kulikuwa na wati 17, inawezekana labda umo humo, lakini way way down.

Kwa mdomo wako mwenyewe umesema siku ile (yako na Chande) Janguo aliamua yeye kupresent ripoti ya marketing: ni kwa sababu hakuona mtu. Fani yako wewe ni insurance mambo ya marketing wapi na wapi?
WM
Mkuu unalalamikia mambo ya miaka ya 80? Huwezi kuwa siriasi!
 
William...
Una haraka sana.
Soma maelezo yangu kwa utulivu.

Nimekueleza kuwa idarani tulikuwa watu wawili tu.
Hii ilikwa mwaka wa 1993.

Sababu ndiyo iliyonifanya mimi kukaimu kwani isingewezekana kuacha nafasi bila mtu wa kukaimu.

Hakika mimi nilikuwa Idara ya Insurance lakini nilihamishwa idara hiyo nikapelekwa Idara ya Biashara.

Nikahamishwa tena Idara ya Biashara nikapelekwa Idara ya Masoko.

Hili la mujahid sijui linakuja vipi hapa.
Ikiwa una maana nilipata kazi kwa Uislam wangu basi hii ni barabara ya njia mbili.

Lazima wawepo na wa dini nyingine ambao nao wamenufaika kwa dini yao.

Kuhusu Cairo Road nifafanulie nikupe jibu.
Binafsi nimefika Cairo mara mbili 1988 na 1991 lakini sina kumbukumbu ya mtaa huo.
Huyo udini umemtawala! Mpuuze tu!
 
Oh! Lkn kambona ulitegemea aseme nini juu ya mahasimu wake?ushahidi alitoa?
...lkn si ni Kambona huyohuyo, kwa kutokuwajua watanzania wa miaka hiyo, aliongea alipokuwa dodoma kuwa, "chini ya ardhi ya Dodoma kuna maji mengi, wakimchagua kuwa raisi atayachimba ili watu wayatumie"!
Sidhani kama kutaja tu ama kutokutoa ushahidi kunabatilisha ukweli wa jambo lenyewe

Zito aliwahi kusema kuhusu wamiliki wa account za nje, ila hakuwataja pia. Hii haimaanishi kwamba hawapo.

Kutokutaja kuna mamabo mengi, either sheria za nchi husika haziruhusu, au ugumu wa kupata ushahidi wa moja kwa moja kutoka kwenye taasisi zenyewe za fedha.

Binafsi siamini katika binadamu mwenye utofauti sana na wenzake pindi linapokuja suala la Mali/ fedha ama anasa. Si vyema kujiapiza kwamba kambona hakuwa mkweli hata kidogo. Sisi sote hatuna ushahidi wa moja kwa moja wa ama zipo au hazipo. Hata mzee wangu MS, usingeweza kupata ushahidi wa hilo kwa namna yeyote ile, trust me. Kwanza jamaa alikuwa mbabe sana na smart sana. Nani angekupa hizo taarifa hata kama alikuwa anazijua

Hata sasa, ukitaka kuhakiki kama rais yeyote aliefatia baada ya JKN ana fedha nje ama la, naamini hutoweza

Waswahili walisema , lisemwalo lipo.....
 
Unajua, kwa kuanzia....Kambona, alipotoa kauli ya "hapa Dodoma, chini kuna maji.......", ilimtoka ktk namna ya "kuwafundisha watu wanachokijua".....alikuwa nje kwa miaka mingi, kizazi changu, hatukuwahi kumuona au kumsikia, kubwa tukisikia uzushi wa kashinda bahati nasibu ya dunia, na kawa tajiri, na kidogo tulimsikia wakati wa mgogoro wa ndege ya ATC iliyotekwa na kina Musa Member na genge lake....sasa miaka kadhaa baadae, tukiwa tumehitimu vyuoni, tuliamini mtu aliem'challenge' Nyerere kuwa ni wa kiwango stahiki cha kumkabili JKN, kihoja.....
Ndipo hapo, alipoangukia....na kuonyesha, alivyoshindwa, hakuwa hata daraja la Mtikila...achilia mbali hasimu wake ktk CCM
 
Mwl..!
Nahisi kuna watu wanakuletea mashkhara ya babu na wajukuu zake sasa...
Return...
Hapana huyu hafanyi maskhara huyu ana maradhi katika nafsi yake.
Anahangaishwa na hasad.

Ile nema ambayo yeye anaiona iliyokuwa inanishukia mimi inamtesa
anaona sikustahili.

Kwenye akili yake haimpitikii kuwa nina elimu ya kufanya hizo kazi.
Nami nikimchukua taratibu nikimpa kamba ndefu ajisokotenayo.

Mimi nimeishi na watu hawa nawajua vyema sana.

Huyu hafanyi maskhara kitabu cha Abdul Sykes kimemuumiza sana
kama kilivyowaumiza wengi.

Hawajapenda mimi kueleza historia ya kweli ya TANU ilivyoundwa na
vipi uhuru ulivyotafutwa.
 
Ile pale nyuma ya Kilimanjaro hotel ni Temple tu kamwe wenyewe huwezi kuwaona hata siku moja wakiingia jengo lile.

Kuna watu kichwani wamejaa fungus, Freemason ndio wenye Rotary club na Lions club.

Kwa mtu ambaye yupo hapa mjini kitambo anajuwa vyema charity zilizofanywa na club hizi.

Tatizo kubwa la Watanzania ni poor IQ na slow learners.
Hivi ile temple pale mjini huwa inatumika vip maana huwa hata sioni watu wakiingia mle
 
William...
Sijui nini kinakuchonyota.
Una pupa ya kujibu unapoteza umakini wa kuzingatia unayoelezwa.

Mimi 1992 nilipewa uhamisho kutoa Idara ya Biashara kwenda Masoko
ili kumsaidia Mkurugenzi wa Masoko katika idara mpya.

Kabla ya 1992 Bandari hapakuwa na Idara ya Masoko.
Hii ndiyo iliyosabisha mimi kuwa mtu wa pili katika hiyo idara.

Hiyo, ''kuteua,'' kama inakuudhi weka neno lolote unaloona wewe linafaa.

Lakini utaratibu ulikuwa mkuu wa idara anapokuwa hayupo anateua mtu
chini yake kukaimu nafasi yake.

Lusaka tulifikia nyumba ya TAZARA pamoja na Assistant Director General
wetu.

Hilo la Mujahid wala huna haja ya kunitaka radhi.
Ila nitakueleza jambo.

Kuna watu kila wanaposoma Qur'an wakifika hapo Allah anapowataja Mujahidina
wao hutokwa na machozi.

Kwa nini wanalia?

Hapo Allah anawataja wale wanaopigana kwa nafsi zao na mali zao ili jina lake
liwe juu.

Mimi sijafikia darja hiyo na niko katika mwisho wa maisha yangu.
Ningependa sana niwe katika hao lakini Allah hajanijaalia.

Hiyo picha ya Maswanya si mimi hiyo picha ni ya Abdul Sykes ilipigwa Cairo 1964.
Angalia picha yangu nikiwa Movenpick Hotel Heliopolis Cairo 1991.

Isikupitikie kuwa hii safari ilikuwa ya kikazi.

La hasha hapo Cairo nilikuwa likizo naelekea Glasgow via London likizo kumtembelea
kaka yangu.

Kuna kisa kizuri Heathrow Airport Terminal Four na watu wa Immigration
nilipowaambia nimekuja Uingereza likizo.

Iko siku In Shaa Allah nitakihadithia.

ut3SamjHq1774Jou4F2PmQz2XUBrTUgYMEFXAVDcedLrC-nqNmeKJONlCiJM4ujpQsHUlMWOXpSTFqP8xoOYm5SPPYDSD-tQyRaBmTwbgWgVKooI1NAMDVaFClKDEpPQIawETwwd8xVoocdajTUKMDCUN1vazvFl0WxLH2omjB5GmfX2JF0mFiVqcTIHpH0G8lAiKDybVZZbkEqyoP250l2HxyTjODfH6kkPnyTh_3t63hU92lm1T23i5Utccqw4NAvApZnYRC8wQeSUfL5apjaQh4umsHVQ2FgTG9VzY8XW_dzRxj7Ds9ZIPo2Vo2A1jiUcUAtFfj4OLkqKUp08sU5SAdAcxXmAFicWwDm2rv3aTSsrB3k_YClahxS82UMd2CASv6VYSwh2agSY9D3GB0SHR7rZk2itqMpOXyH4CCqNf6KE_zLy-bmtDFWe-Sefx9kayqnwQqM71ztHU5ayXi27Lo4YFVwM6DMrB-89tLoOJw6SvZdDlMZtUFlvGlkZVweRRx9ExvGupV09xONP8j5t8PTqpQh51-etrUf4vrfg1t_4rVuNv_cBwX4I0BYtk8T5C6aihFU74kvi5n3Qv98AXiE1LohehXt3tHzmO3wLA0Gz_Q=w928-h696-no

Namaliza kwa kukueleza kuwa zile ''transfer,'' nilizokuwa nikipewa kutoka idara moja
kwenda nyingine zilinisaidia sana katika kazi kwani kila idara mpya nilikopelekwa
wakubwa zangu wakinipeleka mafunzoni.

Hivi ndivyo nikajaaliwa kupita kwingi:
Port Management and Maritime Transportation-Arab Maritime Transportation Academy, Alexandria, Egypt
Workshop in International Trade and Facilitation-Tanzania/Kenya
Leadership Course- Khartoum/Omdurman, Sudan
Transport Policy and Planning in Sub Saharan Africa - Maputo, Mozambique
Maritime Studies, Cardiff Wales
Port Administration- Tilbury Port, London UK
Management Information System- Dar es Salaam,Tanzania
Marketing Management - Harare, Zimbabwe
Port Competition - Institut Portuaire du Havre, Le Havre, France
Success through Effective Marketing, Institute of Customer Services, Nairobi, Kenya.
Customer Care, Corporate Excellency Company Ltd, Paradise Holiday Resort, Bagamoyo.

Kitabu cha Abdul Sykes...
Sikutegemea hata kidogo wakati nakiandika kuwa wengi kitakuchomeni.
Hivi vitabu vinapatikana wapi mzee wangu. Hakika humu mumejaa wakongwe. Miaka hiyo ya 90 bado tunapambana na ziwa la mama..

Najitahidi pia kuwa muandishi mzuri kama wewe..

Kama utaniorodheshea vitabu ulivoandika nikavitafuta nivisome, nitashukuru mzee M.S
 
Naantombe...
Kitabu cha Abdul Sykes kinapatikana Ibn Hazm Bookshop
Msikiti wa Mtoro na Manyema.
 
William...
Sijui nini kinakuchonyota.
Una pupa ya kujibu unapoteza umakini wa kuzingatia unayoelezwa.

Mimi 1992 nilipewa uhamisho kutoa Idara ya Biashara kwenda Masoko
ili kumsaidia Mkurugenzi wa Masoko katika idara mpya.

Kabla ya 1992 Bandari hapakuwa na Idara ya Masoko.
Hii ndiyo iliyosabisha mimi kuwa mtu wa pili katika hiyo idara.

Hiyo, ''kuteua,'' kama inakuudhi weka neno lolote unaloona wewe linafaa.

Lakini utaratibu ulikuwa mkuu wa idara anapokuwa hayupo anateua mtu
chini yake kukaimu nafasi yake.

Lusaka tulifikia nyumba ya TAZARA pamoja na Assistant Director General
wetu.

Hilo la Mujahid wala huna haja ya kunitaka radhi.
Ila nitakueleza jambo.

Kuna watu kila wanaposoma Qur'an wakifika hapo Allah anapowataja Mujahidina
wao hutokwa na machozi.

Kwa nini wanalia?

Hapo Allah anawataja wale wanaopigana kwa nafsi zao na mali zao ili jina lake
liwe juu.

Mimi sijafikia darja hiyo na niko katika mwisho wa maisha yangu.
Ningependa sana niwe katika hao lakini Allah hajanijaalia.

Hiyo picha ya Maswanya si mimi hiyo picha ni ya Abdul Sykes ilipigwa Cairo 1964.
Angalia picha yangu nikiwa Movenpick Hotel Heliopolis Cairo 1991.

Isikupitikie kuwa hii safari ilikuwa ya kikazi.

La hasha hapo Cairo nilikuwa likizo naelekea Glasgow via London likizo kumtembelea
kaka yangu.

Kuna kisa kizuri Heathrow Airport Terminal Four na watu wa Immigration
nilipowaambia nimekuja Uingereza likizo.

Iko siku In Shaa Allah nitakihadithia.

ut3SamjHq1774Jou4F2PmQz2XUBrTUgYMEFXAVDcedLrC-nqNmeKJONlCiJM4ujpQsHUlMWOXpSTFqP8xoOYm5SPPYDSD-tQyRaBmTwbgWgVKooI1NAMDVaFClKDEpPQIawETwwd8xVoocdajTUKMDCUN1vazvFl0WxLH2omjB5GmfX2JF0mFiVqcTIHpH0G8lAiKDybVZZbkEqyoP250l2HxyTjODfH6kkPnyTh_3t63hU92lm1T23i5Utccqw4NAvApZnYRC8wQeSUfL5apjaQh4umsHVQ2FgTG9VzY8XW_dzRxj7Ds9ZIPo2Vo2A1jiUcUAtFfj4OLkqKUp08sU5SAdAcxXmAFicWwDm2rv3aTSsrB3k_YClahxS82UMd2CASv6VYSwh2agSY9D3GB0SHR7rZk2itqMpOXyH4CCqNf6KE_zLy-bmtDFWe-Sefx9kayqnwQqM71ztHU5ayXi27Lo4YFVwM6DMrB-89tLoOJw6SvZdDlMZtUFlvGlkZVweRRx9ExvGupV09xONP8j5t8PTqpQh51-etrUf4vrfg1t_4rVuNv_cBwX4I0BYtk8T5C6aihFU74kvi5n3Qv98AXiE1LohehXt3tHzmO3wLA0Gz_Q=w928-h696-no

Namaliza kwa kukueleza kuwa zile ''transfer,'' nilizokuwa nikipewa kutoka idara moja
kwenda nyingine zilinisaidia sana katika kazi kwani kila idara mpya nilikopelekwa
wakubwa zangu wakinipeleka mafunzoni.

Hivi ndivyo nikajaaliwa kupita kwingi:
Port Management and Maritime Transportation-Arab Maritime Transportation Academy, Alexandria, Egypt
Workshop in International Trade and Facilitation-Tanzania/Kenya
Leadership Course- Khartoum/Omdurman, Sudan
Transport Policy and Planning in Sub Saharan Africa - Maputo, Mozambique
Maritime Studies, Cardiff Wales
Port Administration- Tilbury Port, London UK
Management Information System- Dar es Salaam,Tanzania
Marketing Management - Harare, Zimbabwe
Port Competition - Institut Portuaire du Havre, Le Havre, France
Success through Effective Marketing, Institute of Customer Services, Nairobi, Kenya.
Customer Care, Corporate Excellency Company Ltd, Paradise Holiday Resort, Bagamoyo.

Kitabu cha Abdul Sykes...
Sikutegemea hata kidogo wakati nakiandika kuwa wengi kitakuchomeni.

Mohamed: sasa nimekupatapata. Mie safari zangu zilikuwa zinaishia audit na kwa Lyamaiga. Kwa hiyo CV yako nashauri mtafute ili mchangamkie rends Tanga Port, Bagamoyo SEZ na hata Malindi wanatafuta port management systems.
Bill Marconi

Nikuulize swali moja kuhusu kitabu chako cha Abduwaheed, kama hutajali. Hivi hauna mpango wa kutoa Volume 2 ili umtendee haki Nyerere na Wakristo kwa kujikita zaidi kwenye mambo unayoyajua kuliko ya kuambiwa?
 
Back
Top Bottom