Walikuja kukuomba sehemu ya kuweka msiba?Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana.
Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake.
Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu mara mikocheni mara masaki mara kinondoni,mara paaa ajaki hii hapa
Tukaenda msibani aisee ni uswazi kama Tandale hakuna hata pa kufunga hema.
Naandika haya nikiwa bujumbura baada ya kuonyeshwa mjengo wa yule mzee wetu Saidoo,ni mjengo hata huko Tanzania hakuna mchezaji au celebrity anaweza kuumiliki.
Asante AsanteeeeHakuna hasara bali faida tuu
Labda. Maana bongo wanataka kama kwenu mi maskini basi wasikuone hata unacheka. Ukicheka tu kosaaaa. Anyway kila nafsi itaonja...Walikuja kukuomba sehemu ya kuweka msiba?
Kama marehemu alikuwa mjinga mjinga lazima asemwe ili liwe fundisho kwa wengineMarehemu asemwi vibaya
Wakongo ni kuvaa vizuri tiKwa hiyo milioni kumi ndio angejenga hekalu kama la Saido? Wala sishangai hayo ndio maisha ya Wakongo wengi,hata ukienda Kinshasa au mji wowote mkubwa wa Kongo ukikutana na Mkongo njiani au sehemu ya starehe jinsi alivyovaa na starehe afanyayo halafu ukienda kuona anapoishi ni mbingu na ardhi.
Saidi Ntibazonkiza amecheza ligi ya Uholanzi (Eredivisie) kwa misimu minne yaani 2006 -2009 akiwa na Nijmegen Eendracht Combinatie (NEC), Pia amewahi kucheza ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) na timu ya Caen msimu mmoja 2015/16 kabla ya hapo alikuwa ligi kuu ya Uturuki (Super Lig) msimu wa 2014/15 na Akhisarspor Kulรผbรผ.Naandika haya nikiwa bujumbura baada ya kuonyeshwa mjengo wa yule mzee wetu Saidoo,ni mjengo hata huko Tanzania hakuna mchezaji au celebrity anaweza kuumiliki.
Na hawataki kukuona ukila na kunywa vizuri ,wanataka kukuona unalialia na kuhuzunika muda woteLabda. Maana bongo wanataka kama kwenu mi maskini basi wasikuone hata unacheka. Ukicheka tu kosaaaa. Anyway kila nafsi itaonja...