cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,670
- 78,171
Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
Kabisaa
Ila anaboa huyu ukizingatia hata hakuna analofanya la maana kwenye jimbo lake.
umezunguka mwisho umetumia lugha aliyopaswa kutumia neno unakosea basi lilitosha