Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

Kumbea alikimbilia kwa mama yake?..
Ama kweli mtoto kwa mama hakui
 
Na ******** kapewa semina elekezi muhimu sn na km Kweli angekuwa na PhD halali angemshukuru HALIMA na kuyalaani maccm menzake
 
Umeweka mtiririko mzuri na binafsi sikujua kama alikamatiwa kwa mama yake na kitendo cha kuwa kwa mama yake ni namna mojawapo ya kutaka kutororka.
Jambo moja ni wazi nalo ni kuwa kila mtu anataka kumfurahisha Mheshimiwa Raisi kwa kadri inavyowezekana.Wateule wote wameshasoma ni kitu gani ambacho aliyewateua anataka na wanaitumia nafasi hiyo kiukamilifu,ni jambo jema kwani wanajihakikishia kula kwao na wapendwa wao.
Mkuu wa wilaya ametumia mamlaka yake kikatiba na tunaamini saa 48 zitaisha na atatoka sasa tuangalie huyu wa Dodoma naye kimemuumiza nini?Hivi kweli kwa matamshi hayo ukilinganisha na yule aliyesema bungeni watu wanalala tu ni nani kaliabisha bunge zaidi?
Binafsi naomba JPM asimame tena katika uchaguzi wa 2020 na upinzani wapate wabunge wachache mno na ikiwezekana wakosekane kabisa, si ajabu tukapiga hatua kubwa mno katika nchi hii.
Una ushahid kwamb kwend kwa mama ake alitak kutoroka au unashabikia tu mtu famous vle atoroke aende wap
Hlo unaloliombea halitafanikiwa hata kidogo wabunge tutapat weng kuliko 2015
VIVA CHADEMA
 
Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.

Unaposema Rais ni taasisi inatakiwa kufanya kazi kama taasisi. alichokisema Halima Mdee, hujaona kama taasisi imekengeuka? Makamu wa Raisi anamtazamo wa kulia Mkuu wake mtazamo wa kushoto halafu instruments zote [kwa maana sheria, sera, mikataba ect] inaungana na Makamu. .... Je taasisi iko wapi hapo?

Kwa mtazamo wangu Halima amewakumbusha wafanya kazi kama taasisi ni sio mtu mmoja mmoja.
 
Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.

huyo kiongozi wako mwenye kuendeleza siasa za ujima ndio wa kumshauri. hatutaki kuona utashi, tunataka kuona uongozi. jamaa yako anaropopoka ropoka hovyo hovyo.
 
Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.

kama ni taaisi huyo aliyeibeba aoneshe njia na sio kuropoka ropoka kila wakati. lead us wisely we will follow, ukituendesha kama familia yako ukafikiri wewe ndio rula hakuna atakae kubali upuuzi huo.
 
Back
Top Bottom