KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 776
Heeee... kwani rais ni baba yake Halima? Mbona mie najua kuwa aligombea ili achaguliwe na wananchi, ili baadaye akiharibu wamkosoe ipasavyo?! Au utaratibu ulikuja kubadilika akapigiwa kura na wanae tu? Lakini sasa kama ndio hivyo, mbona kuna wazee wa 70yrs na 80yrs walioneka wakipiga kura?! Nao pia ni watoto wake? Hawaruhusiwi pia kumkosoa baba yao?!Acha kujitoa ufahamu mkuu, wewe unaweza kumwambia mzazi wako "una tabia za hovyo" halafu akakuvumilia? Anaposema ipo siku Rais atawaambia wake kwa waume watembee vifua wazi ni kama anataka kutuaminisha nini?
Ndio msemaji wa chama huyoWhy always you my young brother? Unafurahishwa na unachokifanya? I feel sorry for you
Maneno yako yanafanana na Halima, ndege wanaofanana....!Halima is very smart... one of the smartest person in this world... unlike watu wengine wanaojitapa kuwa wameenda shule mpaka kiwango cha juu ya gorofa huko sijui, lakini kichwani ni zero kabisa, kila wakifungua midomo yao tu, matapishi ya kinyaaa kabisa ndio yanayotoka huko midomoni mwao...
Yah, kinaonyesha kabisa... ndio maana nimeandikaUlichoandika tu kinaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
nilikua nakuonaga kama unaakili vile kumbe ng'ombe tu!Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Halima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Siasa za chuki mnafanya nyie alafu mnaona wengine ndio wanafanya.hii sijui imekaajeHalima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
Rais ni MTU.Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
Kama alivyokuambia Jaslaws, watanzania gani? Tena sisi wengine (mtanzania mie mmojawapo), mtuache kabisa msituingize kwenye hizi comment zenu ambazo ziko logically inconsistenctHalima Mdee lazima abadilike, watanzania sasa hivi hatutaki siasa za chuki. Hata kama Rais anakosea, kuna njia nzuri za kumpinga lakini sio kama wabunge wengi wa upinzani wanavyofanya.
...[HASHTAG]#chachumbara[/HASHTAG] hujanijibu?nasubiris jibu lako badoHvi hyo spik alimpigaga nani vile hadi akazimiaa ?nasubiri jibu mkuu
Ova
Aendee kuleta picha za ajali huko anafaaw
nilikua nakuonaga kama unaakili vile kumbe ng'ombe tu!
Kwahiyo Rais ana ruhusiwa kushambulia wenzake lakini wengine hawaruhusiwi kumshambulia?
Kwani huwezi kukosoa au kupinga kwa staha? Mbona akina Zitto hawajawahi kukutana na heka heka kama akina Mdee..
Kunya anye kuku.akinya bata...?Hata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.
professorial rubixh xax we unataka apingweje jamii ambayo m2 hapingi ni jamii ya maroboti 2 ndo hawakoseleani as long as unaixhi kwenye jamii ya wa2 lazima ukosoleweeeeeHata kama Rais ana element za siasa za chuki lakini sio kwa kushambuliwa kwa namna wanavyofanya wapinzani. Rais ni taasisi kumbuka.