Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

Ni aibu kwa Ndugai,Makufuli,Dc Happiness na Siro.Watu wazima na vyombo vyenu hapo kati mnapambana kabinti kadogo kama Halima? Aibuuu,aibuuuu,aibuuuuuuu.Halima anawajambisha woteeeee,ndo maana wale wa MKIRU mmewashindrwaaaaaaaaa
 
SIKU MBILI ZA HALIMA MDEE RUMANDE OYSTERBAY
Usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Julai, 2017 ni usiku wa pili wa kulala korokoroni Mwenyekiti wa BAWACHA taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Kawe CHADEMA Halima James Mdee.

Katika rumande ya Polisi Oysterbay wilayani Kinondoni, Mdee ameendelea kutumikia masaa 48 aliyopewa na Mkuu wa Awilaya ya Kinondoni Ally Hapi kwa kosa la kumdhihaki Mh. Rais Dr. John Magufuli na kutoa maneno machafu yanayoweza kuvunja amani.

MATAMSHI YA MDEE
Akizungumza na waandishi wa habari Makao makuu ya CHADEMA Mdee ananukuliwa kudai kuwa Mh. Rais Magufuli amekua na "tabia ya hovyo...", "...ipo siku ataagiza watanzania (wake kwa waume) watembee vifua wazi...". Maneno mengine ni "...Rais lazima afungwe breki...",apewe semina elekezi n.k.

UCHOCHEZI
Halima Mdee anatajwa kutoa kauli za uchochezi kama vile "...woga wetu wananchi ndio unaotugharimu nchi hii..." "...watakaomfunga breki ni nyinyi wananchi...", maneno yanayotajwa kupandikiza na kuhamasisha chuki na vurugu kwa wananchi.

KUKAMATWA KWAKE
Baada ya amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mdee alianza harakati za kutoroka na kuruka mtego wa Polisi. Hata hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni lilimkamata akiwa amejificha nyumbani kwa mama yake Kibamba wilayani Ubungo tayari kwa kutoroka.

RUMANDE
Halima Mdee anatajwa kuhifadhiwa katika rumande ya watuhumiwa wa uhalifu wa jinsia ya kike katika kituo cha Oysterbay Kinondoni.

BUNGE KUMUWAJIBISHA TENA
Akiwa bado anatumikia kifungo cha kutohudhuria Bunge hadi mwaka 2018, Halima Mdee ameingia tena matatani.

Kufuatia matamshi ya Mdee na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema, Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kamati ya Kinga na Madaraka ya Bunge kukutana haraka kujadili kitendo cha Mbunge huyo kutoa matashi ya kulifedhehesha Bunge. Akikutwa na hatia huenda akaongezewa adhabu nyingine.
Sasa umeandika nini hapa... Mbona bado sijaelewa
 
Umeweka mtiririko mzuri na binafsi sikujua kama alikamatiwa kwa mama yake na kitendo cha kuwa kwa mama yake ni namna mojawapo ya kutaka kutororka.
Jambo moja ni wazi nalo ni kuwa kila mtu anataka kumfurahisha Mheshimiwa Raisi kwa kadri inavyowezekana.Wateule wote wameshasoma ni kitu gani ambacho aliyewateua anataka na wanaitumia nafasi hiyo kiukamilifu,ni jambo jema kwani wanajihakikishia kula kwao na wapendwa wao.
Mkuu wa wilaya ametumia mamlaka yake kikatiba na tunaamini saa 48 zitaisha na atatoka sasa tuangalie huyu wa Dodoma naye kimemuumiza nini?Hivi kweli kwa matamshi hayo ukilinganisha na yule aliyesema bungeni watu wanalala tu ni nani kaliabisha bunge zaidi?
Binafsi naomba JPM asimame tena katika uchaguzi wa 2020 na upinzani wapate wabunge wachache mno na ikiwezekana wakosekane kabisa, si ajabu tukapiga hatua kubwa mno katika nchi hii.
CCM ipo madarakani toka 1960 hadi leo ila hujapiga maendeleo.
Unadhani Magufuli amekuwa malaika wa kuleta maendeleo?
Utasubiri hadi kesho.
 
SIKU MBILI ZA HALIMA MDEE RUMANDE OYSTERBAY
Usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Julai, 2017 ni usiku wa pili wa kulala korokoroni Mwenyekiti wa BAWACHA taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Kawe CHADEMA Halima James Mdee.

Katika rumande ya Polisi Oysterbay wilayani Kinondoni, Mdee ameendelea kutumikia masaa 48 aliyopewa na Mkuu wa Awilaya ya Kinondoni Ally Hapi kwa kosa la kumdhihaki Mh. Rais Dr. John Magufuli na kutoa maneno machafu yanayoweza kuvunja amani.

MATAMSHI YA MDEE
Akizungumza na waandishi wa habari Makao makuu ya CHADEMA Mdee ananukuliwa kudai kuwa Mh. Rais Magufuli amekua na "tabia ya hovyo...", "...ipo siku ataagiza watanzania (wake kwa waume) watembee vifua wazi...". Maneno mengine ni "...Rais lazima afungwe breki...",apewe semina elekezi n.k.

UCHOCHEZI
Halima Mdee anatajwa kutoa kauli za uchochezi kama vile "...woga wetu wananchi ndio unaotugharimu nchi hii..." "...watakaomfunga breki ni nyinyi wananchi...", maneno yanayotajwa kupandikiza na kuhamasisha chuki na vurugu kwa wananchi.

KUKAMATWA KWAKE
Baada ya amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mdee alianza harakati za kutoroka na kuruka mtego wa Polisi. Hata hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni lilimkamata akiwa amejificha nyumbani kwa mama yake Kibamba wilayani Ubungo tayari kwa kutoroka.

RUMANDE
Halima Mdee anatajwa kuhifadhiwa katika rumande ya watuhumiwa wa uhalifu wa jinsia ya kike katika kituo cha Oysterbay Kinondoni.

BUNGE KUMUWAJIBISHA TENA
Akiwa bado anatumikia kifungo cha kutohudhuria Bunge hadi mwaka 2018, Halima Mdee ameingia tena matatani.

Kufuatia matamshi ya Mdee na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema, Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kamati ya Kinga na Madaraka ya Bunge kukutana haraka kujadili kitendo cha Mbunge huyo kutoa matashi ya kulifedhehesha Bunge. Akikutwa na hatia huenda akaongezewa adhabu nyingine.

Kutoroka aende wapi, kusema hivyo kwani kaua mpaka ajiandae kutoroka, acheni kumpaka mtu matope namna hiyo, aogope rumande wakati wanapaona kama nyumbani, kwani kaanza jana kulazwa rumande, lumumba mna tabu sana,
 
Alienda kujificha kwa mama yake? Huu utani sasa,Halima ana akili zaidi ya hizo.
wapinzani na hasa chadema, jela ni kama kwao, washawafunga, washaswekwa sana, leo hii jitu tu linaibuka ati alikuwa anajindaa kukimbia, mijitu mingine bana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeweka mtiririko mzuri na binafsi sikujua kama alikamatiwa kwa mama yake na kitendo cha kuwa kwa mama yake ni namna mojawapo ya kutaka kutororka.
Jambo moja ni wazi nalo ni kuwa kila mtu anataka kumfurahisha Mheshimiwa Raisi kwa kadri inavyowezekana.Wateule wote wameshasoma ni kitu gani ambacho aliyewateua anataka na wanaitumia nafasi hiyo kiukamilifu,ni jambo jema kwani wanajihakikishia kula kwao na wapendwa wao.
Mkuu wa wilaya ametumia mamlaka yake kikatiba na tunaamini saa 48 zitaisha na atatoka sasa tuangalie huyu wa Dodoma naye kimemuumiza nini?Hivi kweli kwa matamshi hayo ukilinganisha na yule aliyesema bungeni watu wanalala tu ni nani kaliabisha bunge zaidi?
Binafsi naomba JPM asimame tena katika uchaguzi wa 2020 na upinzani wapate wabunge wachache mno na ikiwezekana wakosekane kabisa, si ajabu tukapiga hatua kubwa mno katika nchi hii.
wa kumufurahisha ni Mungu pkee sio huyo mtu aliyeumbwa kama mm yaani wanamuonea tu halima wa watu ngoja tuingie katika stiki watakiona
 
Huyu dada hajapata mwanaume wa kweli akamtia dudu hadi azimie! Naona anahangaika sasa kama wale wanafunzi wa kike wanaosoma shule ya jinsia moja bila boys. Ataanza kuangukaanguka soon, wanaume wa dar es salaam mshughulikie huyu dada
 
Hivi mtu unaweza kujificha kwa mama yako Mzazi? Ridhiwani akienda kwa Mama Salma au Jesca akienda kwa Mama Janet Magufuli wanakuwa wamejificha? Hii nchi ina siasa za chuki sana aisee. Hii awamu ni kiboko
 
Watanzania asili yetu ni kuheshimu wakubwa, Ukiwa na Chuki sana unayeathirika ni wewe sio mtu unayemchukia. Wakati wewe unaumiza moyo wako mwenzio anapeta tu.

Una umri gani?
 
Back
Top Bottom