Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

Ni aibu kwa Ndugai,Makufuli,Dc Happiness na Siro.Watu wazima na vyombo vyenu hapo kati mnapambana kabinti kadogo kama Halima? Aibuuu,aibuuuu,aibuuuuuuu.Halima anawajambisha woteeeee,ndo maana wale wa MKIRU mmewashindrwaaaaaaaaa
 
Sasa umeandika nini hapa... Mbona bado sijaelewa
 
CCM ipo madarakani toka 1960 hadi leo ila hujapiga maendeleo.
Unadhani Magufuli amekuwa malaika wa kuleta maendeleo?
Utasubiri hadi kesho.
 

Kutoroka aende wapi, kusema hivyo kwani kaua mpaka ajiandae kutoroka, acheni kumpaka mtu matope namna hiyo, aogope rumande wakati wanapaona kama nyumbani, kwani kaanza jana kulazwa rumande, lumumba mna tabu sana,
 
Alienda kujificha kwa mama yake? Huu utani sasa,Halima ana akili zaidi ya hizo.
wapinzani na hasa chadema, jela ni kama kwao, washawafunga, washaswekwa sana, leo hii jitu tu linaibuka ati alikuwa anajindaa kukimbia, mijitu mingine bana
 
Reactions: BAK
wa kumufurahisha ni Mungu pkee sio huyo mtu aliyeumbwa kama mm yaani wanamuonea tu halima wa watu ngoja tuingie katika stiki watakiona
 
Huyu dada hajapata mwanaume wa kweli akamtia dudu hadi azimie! Naona anahangaika sasa kama wale wanafunzi wa kike wanaosoma shule ya jinsia moja bila boys. Ataanza kuangukaanguka soon, wanaume wa dar es salaam mshughulikie huyu dada
 
Sishangai wengi humu kuunga mkono upuuzi wa Mdee maana hata alivyomtusi Spika 'acha Ufala' mlishangilia sana.
Mbona aliemwita mnyika mwizi ujamsema? Binadamu ananyogo hivyo hawezi vumilia anapohisi hapewi haki yake.

Siasa mbaya sana wanaumia wachini kumbuka hao wote wanajiweza
 
Hivi mtu unaweza kujificha kwa mama yako Mzazi? Ridhiwani akienda kwa Mama Salma au Jesca akienda kwa Mama Janet Magufuli wanakuwa wamejificha? Hii nchi ina siasa za chuki sana aisee. Hii awamu ni kiboko
 
Yaani kumkamatia kwa mama yake ndo alitaka kutoroka!? Duh [emoji44][emoji44][emoji44]
 
Watanzania asili yetu ni kuheshimu wakubwa, Ukiwa na Chuki sana unayeathirika ni wewe sio mtu unayemchukia. Wakati wewe unaumiza moyo wako mwenzio anapeta tu.

Una umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…