Siku mbaya JF

Duh.. kwamba ukiweka tu wanazilamba? Kwanini sasa? Wahoji wakupe majibu yanayoeleweka
 
Siwezi kuwa na siku mbaya jf labda mm ndio nitengeneze mwingine awe na siku mbaya, atayeingia kwenye 18 namlia tu timing akijisahau naanza kuruka nae mdogo mdogo hadi ataomba poo.

Kanuni yangu ni hii: Hear me, Fear me, Believe me
 
Pole sana mkuu
 
Moderator
 
Duh.. kwamba ukiweka tu wanazilamba? Kwanini sasa? Wahoji wakupe majibu yanayoeleweka
Haikiyanani sitanii...
Nilowekaga Uzi very positive.....wakati nasafiri Kwa mara ya kwanza kwenda Nairobi...hotel za kufikia mpakani....na mikoa ya kibiashara....nikasema nikirudi nitashea na Mimi ktika huo....Uzi.
Naitafuta siuoni...
Niliandika hotel nzuri,salama kiiusalama na bei nafuu,nchi jirani ,mpakani na mikoa mbalimbali,,wakauhold sijajua kama Hadi Leo waliurudisha au lah..
Wanatatizo.....ila ukiandika Uzi WA kukulana au comments za kukulana wanazipenda sana.
Mi sijui kwanini aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…