wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,534
Kwa sisi wazee wa zamani yaani vijana wa miaka ya 1978 ambao bado hadi sasa hivi tupo hai nashukuru alhamdulilahi Bakwata.
Tuliona jinsi Idd Amin alivyoingia madarakani kwa mapinduzi na kushangiliwa kama mkombozi wa waganda,baadae alianza kuboronga ile mbaya,viongozi wa dini na wanaharakati walipoanza kumkosoa wakaanza kupotea na kuuawa hovyo.
Uchumi ulizidi kuporomoka, siku moja Idd Amin akamwita gavana wa benki kuu na kumuuliza kwa nini uchumi unaporomoka hivyo,gavana akajibu ni kwa sababu ya inflation,Idd Amin akasema mkamateni inflation haraka.
Madikteta huwa hawana akili timamu ndo sifa yao kuu.