Siku hizi wanawake wanaendesha magari ya maana

Wana kazi za kawaida, kipato chini 700k kwa mwezi. Lakini wanasukuma Ndinga moja za maana aisee,

Ukiwakuta wamevaa miwani yao myeusi utafikiri wanafanya kazi Hazina ama BOT lakini kumbe sio. Unakuta mwanamke anasukuma Ndinga kali kuliko ata ndinga ya Boss wake aliyempita zaidi ya Nusu ya mshahara Wake,

Wanawake hizo hela mnazonunulia Ndinga kali siku hizi mnazitoa wapi aisee. Namba za magari zinazidi kusonga kwa kasi kwa sababu yenu hadi mnafanya yale maisha magumu kwa Serikari iyaone mepesi.

Kwa sababu kuna Raia wananunua Ndinga vibaya mno.


Cc Zero iq
Mkuu hao wako tayari hata kuweka rehani mtaro. Kwani kujinyea kitu gani bwana.
 
Back
Top Bottom