Siku hizi wanawake wanaendesha magari ya maana

Siku hizi wanawake wanaendesha magari ya maana

Wana kazi za kawaida, kipato chini 700k kwa mwezi,
Lakini wanasukuma Ndinga moja za maana aisee,

Ukiwakuta wamevaa miwani yao myeusi utafikiri wanafanya kazi Hazina ama BOT lakini kumbe sio,
Unakuta mwanamke anasukuma Ndinga kali kuliko ata ndinga ya Boss wake aliyempita zaidi ya Nusu ya mshahara Wake,

Wanawake hizo hela mnazonunulia Ndinga kali siku hizi mnazitoa wapi aisee.
Namba za magari zinazidi kusonga kwa kasi kwa sababu yenu hadi mnafanya yale maisha magumu kwa Serikari iyaone mepesi,
Kwa sababu kuna Raia wananunua Ndinga vibaya mno.


Cc Zero iq
Kile kizinga ulichopigwa ndo kimelipa ushuru wa gari namba DQ kuingia nchini, ila vizinga vya wengine vimenunua gari
 
Mkuu hakuna kwenda sawa na wanaume kwenye angle gani...
Kuwa mwanamke ni raha sana
Sio kuwa mwanamke tu, uwe na nyota na mvuto plus brains. Utamenya life kilaini tu maana wakware wote wa mjini watakuwa wanakusalandia.

Lazma ujue kuji position lakini, ukijiweka cheap hutoboi.🤣🤣🤣
 
Sio kuwa mwanamke tu, uwe na nyota na mvuto plus brains. Utamenya life kilaini tu maana wakware wote wa mjini watakuwa wanakusalandia.

Lazma ujue kuji position lakini, ukijiweka cheap hutoboi.🤣🤣🤣
Ukiwa mwanamke, ukajua nafasi yako kama mwanamke, ukajua thamani yako kama mwanamke na ukajua asili na nafasi ya mwanaume na kuishi bila kutamani kuwa sawa na mwanaume maisha ni murua sana
Mkuu funzadume unasemaje hapo
Cc radicals
 
Back
Top Bottom