Asilimia Kubwa ya Wanawake Siku hizi Wana Ndevu, inasababishwa na nini?

Mayunga234

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
1,726
1,989
SIKU hizi Asilimia kubwa ya Wanawake wana Ndevu Tatizo ni nini na inasababishwa na nini?
na suluhisho ni nini? Je kuna Dawa ya kuzifanya zisiote?
Unakutana na pisi kali ila sasa Ndevu ni Hatari
Wachina wameshindwa kweli kungundua dawa ya kufanya nywele zisiote kwa wadada
 
Wewe unadai ndevu wengi Sasa hivi Wana garden Love na nimeshuhudia wengi Sana
 
SIKU hizi Asilimia kubwa ya Wanawake wana Ndevu Tatizo ni nini na inasababishwa na nini?
na suluhisho ni nini? Je kuna Dawa ya kuzifanya zisiote?
Unakutana na pisi kali ila sasa Ndevu ni Hatari
Wachina wameshindwa kweli kungundua dawa ya kufanya nywele zisiote kwa wadada
Wachina Wakingundua Solution watapiga sana hela
 
Back
Top Bottom