FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,799
- 46,916
Ila inategemea mtu kaguswa vipi, usiseme hivyo..
Nyenyere kaguswa kuliko ZamaIla inategemea mtu kaguswa vipi, usiseme hivyo..
Wanaume tuliongoza kwa vijiwe vya story za kuchekesha msiban, Ila Saiv tunalia mpaka tunazimia
MF. Huyu nkuu nkohoa wa makonda
Analialia sana mara yeesuuuu uwiiii
Aaaah shame on us.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mijaume inalia mpaka inaangukia kwenye mabega ya warembo,huku limeacha makalio wazi pambafff sana
Kufa ni lazima kweli mkuu ila msiba hauzoeleki mpka mtu ajikaze kwa mtu wake sio kweli kwa moyo wa kawaida lazima chozi likutoke.Mmmmh!!!! Sio kwa mwanaume wa kweli anaejua kufa ni lazima
Ukifiwa utaelewa chief vunga kwanzaUpumbavu!!!!! mkubwa huu
Wengine wasanii tuWanaume tuliongoza kwa vijiwe vya story za kuchekesha msiban, Ila Saiv tunalia mpaka tunazimia
MF. Huyu nkuu nkohoa wa makonda
Analialia sana mara yeesuuuu uwiiii
Aaaah shame on us.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha ha daah nimecheka saanasi kwenye misiba tu, tabia ya kulia lia kwa mwanaume si nzuri hata kidogo.
Wote waubganishwe! Hua naona aibu kama mimi vileHiyo inaendana sambamba na wanaume kupiga magoti wakati wa kumvisha pete mchumba au mke !
Inashangaza sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mkuu we ukishaona mwanaume anadiriki kukaa kwenye kiti anaweka miguu kwenye beseni halafu mwanaume mwenzie anamuosha miguu, anamsugua na kumkata kucha, anampaka mafuta mpaka kwenye mapaja... Hapo kuna mwanaume kweli?
Hahahahahaaaaaaaa mbona kamasi KISADO!!!!