Siku hizi wanaume ndio wanaolia msibani

Siku hizi wanaume ndio wanaolia msibani

Ushoga mkuu huwa una mambo mengi bado tu wataanza kuja wamejifunga ushugi msibani. Subiri 2025 utakuja kunitafuta kuwa nilisema kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndio wanaume wa Dar na ushungi kichwani.
Kiba%20kiboko%20ya%20waandishi%20_joy__joy__joy__joy__raised_hands__raised_hands__raised_hand...jpeg
 
Dunia inaenda kasi sana ,zamani wanaume kazi yao kubwa msibani ilikuwa ni kuchimba kabuli,kumstili marehemu kumbemba na kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele ,

Kulia,kupika ,kuchota maji Na inshu ndogo ndogo ilikuwa ni kazi ya kina Mama,

ila siku hizi sasa wanaume kazi yao ni kulia Na kulegea Na wanawake kuja kutoa pole.

Wanaume wamekuwa soft sana siku hizi hivi mwanaume Yule anaelia msibani siku akifiwa ata Na mwanae ataweza kwenda kumstili marehemu,kumuosha,kumvika Na kumuweka kwenye jeneza.

Wanaume we are under attack ipo siku isiyo Na jina wanawake watatupokea kazi hizi.

Zero IQ
Mwanaume wa mkoani huyo sio wa dar

Wanaume waliofukuliwa mitaro ndo wanawalilia mabwana zao.Sikh wengine wanazimia eti.Mwanaume unalia msibani,unazima,khaa.Hays mabo sanasana yapo kwa wanaume wa. Dar.Galis,Barnaba,Mwakyembe no.Hawa wote wako Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh kwa mtazamo wangu swala la kulia msibani sio swala la kuwa mwanaume wa mkoani au wa Dar hii ni jinsi gani kifo cha marehemu kimekugusA. Ruge alisaidia wengi mno hiyo itabaki kuwa privacy yao na marehemu quote toka kweny familia " Ruge cared much about the society around him than his family." Sasa familia imeona matundA yake. So hii inaonyesha jinsi gani watu walio fanya nae kazi Akatoa misaada ya dhati kwa jamii yake leo hii Ruge hayupo kwanini kama kwel una moyo wa kiuana damu usilie kwa kifo chake? Kwa mtu baki ata ona ni mtu wa kawaida ila kwa mtu anaye tambua mchango wa Ruge lazima utaliA mno labda usiwe na Moyo huu wa damu na nyama.

Sent from my iPad using JamiiForums
Hapana haya mambo yapo huku Dar.Mimi niko Dar lakini wanaume wa Dar mnatia Aibu.Mwanaume unaliaje? Mkeo ndo anakufariji na kukubembeleza unyamaze mambo gani haya.Marehemu naye alikuwa analilia kapochi mpasuo aka kapochi manyoya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu!!!!! mkubwa huu
Mmmh kwa mtazamo wangu swala la kulia msibani sio swala la kuwa mwanaume wa mkoani au wa Dar hii ni jinsi gani kifo cha marehemu kimekugusA. Ruge alisaidia wengi mno hiyo itabaki kuwa privacy yao na marehemu quote toka kweny familia " Ruge cared much about the society around him than his family." Sasa familia imeona matundA yake. So hii inaonyesha jinsi gani watu walio fanya nae kazi Akatoa misaada ya dhati kwa jamii yake leo hii Ruge hayupo kwanini kama kwel una moyo wa kiuana damu usilie kwa kifo chake? Kwa mtu baki ata ona ni mtu wa kawaida ila kwa mtu anaye tambua mchango wa Ruge lazima utaliA mno labda usiwe na Moyo huu wa damu na nyama.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Sisi wa mikoani bado hizo shughuli tunaendelea kuzifanya mpaka kesho. Ila hadi muda huu bado tumeshikwa na mshangao tunapowaangalia huko Dar kupitia runinga, namna wanaume wanavyolia kwenye huo msiba wa Ruge!

Tunawaona wengine hata kutembea wanashindwa! Eti wanasaidiwa kama wanavyofanyiwa wake za marehemu huku mikoani tuliko
Wazaramo hao
 
Mmmh kwa mtazamo wangu swala la kulia msibani sio swala la kuwa mwanaume wa mkoani au wa Dar hii ni jinsi gani kifo cha marehemu kimekugusA. Ruge alisaidia wengi mno hiyo itabaki kuwa privacy yao na marehemu quote toka kweny familia " Ruge cared much about the society around him than his family." Sasa familia imeona matundA yake. So hii inaonyesha jinsi gani watu walio fanya nae kazi Akatoa misaada ya dhati kwa jamii yake leo hii Ruge hayupo kwanini kama kwel una moyo wa kiuana damu usilie kwa kifo chake? Kwa mtu baki ata ona ni mtu wa kawaida ila kwa mtu anaye tambua mchango wa Ruge lazima utaliA mno labda usiwe na Moyo huu wa damu na nyama.

Sent from my iPad using JamiiForums
Mmmmh!!!! Sio kwa mwanaume wa kweli anaejua kufa ni lazima
 
Back
Top Bottom