Siku hizi wanaume ndio wanaolia msibani

Siku hizi wanaume ndio wanaolia msibani

Dunia inaenda kasi sana ,zamani wanaume kazi yao kubwa msibani ilikuwa ni kuchimba kabuli,kumstili marehemu kumbemba na kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele ,

Kulia,kupika ,kuchota maji Na inshu ndogo ndogo ilikuwa ni kazi ya kina Mama,

ila siku hizi sasa wanaume kazi yao ni kulia Na kulegea Na wanawake kuja kutoa pole.

Wanaume wamekuwa soft sana siku hizi hivi mwanaume Yule anaelia msibani siku akifiwa ata Na mwanae ataweza kwenda kumstili marehemu,kumuosha,kumvika Na kumuweka kwenye jeneza.

Wanaume we are under attack ipo siku isiyo Na jina wanawake watatupokea kazi hizi.

Zero IQ
Wanaume wa sasa kama wanapiga magoti kuwavika pete wadada watashindwa kulia kwenye misiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inaenda kasi sana ,zamani wanaume kazi yao kubwa msibani ilikuwa ni kuchimba kabuli,kumstili marehemu kumbemba na kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele ,

Kulia,kupika ,kuchota maji Na inshu ndogo ndogo ilikuwa ni kazi ya kina Mama,

ila siku hizi sasa wanaume kazi yao ni kulia Na kulegea Na wanawake kuja kutoa pole.

Wanaume wamekuwa soft sana siku hizi hivi mwanaume Yule anaelia msibani siku akifiwa ata Na mwanae ataweza kwenda kumstili marehemu,kumuosha,kumvika Na kumuweka kwenye jeneza.

Wanaume we are under attack ipo siku isiyo Na jina wanawake watatupokea kazi hizi.

Zero IQ
Umeandika ukweli lakini kwanza hebu tuwekane sawa kwenye kuandika baadhi ya maneno. kabuli = kaburi, kumstili = kumsitiri, inshu = ishu (kumbuka kiingereza ni issue), ata = hata.
Baada ya hapo naunga mkono mada. Na zaidi niongezee zamani wanaume walikuwa kama viranja wa kuwakaripia wanawake wanaolia. Mwanamke akionekana analia sana kwa makelele basi wanaume walikuwa ndiyo viongozi wa kumkaripia.
 
IMG-20190302-WA0016.jpg
uchungu na anashushia na maji
 
Halafu jana shughuli ya kuaga mwili wa Ruge ingefanyikia Viwanja vya leaders club vituko vingejitokeza vingi sana!
Yani idadi ya watu kujiliza ingeongezeka mara dufu!

Watu wangefanya vituko mpaka basi ilimradi waoneshwe kwenye vyombo vya habari!

Watu wangejiangusha mpaka basi!

Lakini wameogopa kwa kuwa kuna serikali !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewpa mbinu ila siku ya Siku utasikia,mamaaaa oooh ngoja nikalilie chooooniiiiii.Wamevurugwa hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaaaa wengine kuona machozi yetu huwa ni vigumu sana sasa wanawake walie na wanaume tulie sasa hapo msiba atasimamia nani na ndiyo màana unaambiwa chozi la mwanaume halina thamani hata ukilia utaambiwa acha kulia mtoto wa kiume jikaze
 
Nakumbuka miaka mi5 nyuma wakati mzee wangu amefariki my girlfriend aliniambia usionyeshe udhaifu wako mbele za watu ukitaka kulia lia sana ukiwa kifuani kwangu au mabega yangu lakini mbele za watu be strong wewe ni mwanaume.
Asee nilijikaza lakini the time wamefunua jeneza nikajikuta machozi hayo bila taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu...
Nadhani ndiye uliyemuoa sasa au bado ni girlfriend?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inaenda kasi sana ,zamani wanaume kazi yao kubwa msibani ilikuwa ni kuchimba kabuli,kumstili marehemu kumbemba na kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele ,

Kulia,kupika ,kuchota maji Na inshu ndogo ndogo ilikuwa ni kazi ya kina Mama,

ila siku hizi sasa wanaume kazi yao ni kulia Na kulegea Na wanawake kuja kutoa pole.

Wanaume wamekuwa soft sana siku hizi hivi mwanaume Yule anaelia msibani siku akifiwa ata Na mwanae ataweza kwenda kumstili marehemu,kumuosha,kumvika Na kumuweka kwenye jeneza.

Wanaume we are under attack ipo siku isiyo Na jina wanawake watatupokea kazi hizi.

Zero IQ

Inawezekana hao ni wanaume wa Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom