Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Jamaa kaokoka, walokole kulia ndio zao. Alipo takiwa aonyeshe cheti alilia hadi kamasi sembuse msiba.
Hahahahahaaaaaaaa mbona kamasi KISADO!!!!Hivi unategemea nn mwanaume kaenda msibani kasuka rasta mpaka kiunoni na hereni Juu hasilie???....nimeshangaa wema kavaa sket na mtandio na full black glass kaja msibani kasaini kitabu kabaki anakodoa tu....vijianume vya dar kamasi kisado
We jamaaa mbona kwanzia hilo jina lako Ni langu.. Na story yako Ni yangu kabisaaaaaaaa yani nilikaza kabisa mpka nafika pale kusogea karibu Zaid nasema it's ouk, fine, it's OK, fine.. Aaaaargh sijui hata machozi na mafua yalitokea wapi.. Kwakweli chozi halikuniacha salama..Nakumbuka miaka mi5 nyuma wakati mzee wangu amefariki my girlfriend aliniambia usionyeshe udhaifu wako mbele za watu ukitaka kulia lia sana ukiwa kifuani kwangu au mabega yangu lakini mbele za watu be strong wewe ni mwanaume.
Asee nilijikaza lakini the time wamefunua jeneza nikajikuta machozi hayo bila taarifa. [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe alikuwa na mkeSisi wa mikoani bado hizo shughuli tunaendelea kuzifanya mpaka kesho. Ila hadi muda huu bado tumeshikwa na mshangao tunapowaangalia huko Dar kupitia runinga, namna wanaume wanavyolia kwenye huo msiba wa Ruge!
Tunawaona wengine hata kutembea wanashindwa! Eti wanasaidiwa kama wanavyofanyiwa wake za marehemu huku mikoani tuliko
Kuvumilia kumuona mtu wako wa karibu mle ni ngumu sana mkuu.We jamaaa mbona kwanzia hilo jina lako Ni langu.. Na story yako Ni yangu kabisaaaaaaaa yani nilikaza kabisa mpka nafika pale kusogea karibu Zaid nasema it's ouk, fine, it's OK, fine.. Aaaaargh sijui hata machozi na mafua yalitokea wapi.. Kwakweli chozi halikuniacha salama..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unategemea nn mwanaume kaenda msibani kasuka rasta mpaka kiunoni na hereni Juu hasilie???....nimeshangaa wema kavaa sket na mtandio na full black glass kaja msibani kasaini kitabu kabaki anakodoa tu....vijianume vya dar kamasi kisado
Umenikumbusha petro alivyomlilia Yesu alijificha ukutani akaliaaaaKuna jinsi ya kulia KIUME!
Mwanaume unatakiwa uji control. Unaweza usiweze kuzuia machozi, ila unaweza kabisa kujizuia usigalegale chini au usipige ukunga na pia unaweza kuzuia makamasi yasikujae usoni kama mtoto wa chekechea..! Ukishindwa kabisa, sogea pembeni jifiche sehemu lia weee.. then jiweke fresh rudi kwenye kadamnasi.