Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Ng'wana ng'wise wanaweka juhudi na kunieleza mengi kwanza wanafurahi.
As alivyosema mleta uzi watu wanaishi mkoa mmoja tena mdoooogo mmoja Sinza mwingine Gongo la mboto ila wanaonana sikukuu hadi sikukuu au kutokee tatizo na hata yakitokea wanayatatua au kukutana kwa ukaribu walionao!
Kumewahi kutokea msiba nikawajulisha ndugu ambao hawajawahi kabisa kumfahamu marehemu na wakafika wote.
Likitokea tatizo msema hovyo lazima nitafutwe
Kwa upande wako naona iko vizuri, inaweza kuwa kuna kusudi la uwepo wako kama ‘Masihi’ wa ukoo.... lakini pia jiridhishe na ‘nafasi’ yako kimaisha isijekuwa unatunukiwa ‘vyeo’ kimaslahi.