Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Ndugu zako watafute sana na uwajue wote sio kwa lengo la kukusaidia just look for em ni faida.
.
Mimi hadi naitwaga mnoko nawajua wote nikisikia kuna ndugu mahala ambaye simfahamu nafunga safari namfata na mpaka niwajue hao anaoishi nao ninawajua wengi sana wengine hadi nimeshapitaga nao kwa kutokujua.
.
Ilifika time nikaambiwa ukifatilia sana utakuta wote ndugu zako ukose wakuoa [emoji4] ila sikomi i was born to unite my clans (ziko mbili) wanautengano sana hawa jamaa hawapendani visanga vingi ila mimi ni kakiunganishi kao.
”Mtaka nyingi nasaba, hupata mingi misiba”.