PoleUjamaa na undugu ni chanzo kikubwa cha umaskini wetu, ukipata kinafasi kidogo utanyonyolewa hadi ujute... ukikaza tu utasemwa balaa.
Nakuelewa mkuu
PoleUjamaa na undugu ni chanzo kikubwa cha umaskini wetu, ukipata kinafasi kidogo utanyonyolewa hadi ujute... ukikaza tu utasemwa balaa.
😃kweliNjaa inauma... chunga usichinje nyau. Ukisha fikisha 18 yrs wewe ni sovereigh state ni free jiongeze acha kutegemea ndugu nayeye ana yake acha lawama...ujamaa umeisha long sasa hivi kila mtu anajiangalia mwenyewe.
bwana wee hii ni kweli kabisa.Ujamaa na undugu ni chanzo kikubwa cha umaskini wetu, ukipata kinafasi kidogo utanyonyolewa hadi ujute... ukikaza tu utasemwa balaa.
NakaziaTafuta hela utatafutwa na ndugu wote na Utaondokana na karaha ya wewe kutafuta ndugu zako.
Nasema tafuta hela.
Mimi mbona ndugu yangu ndo aliyeninyanyua pale nilipojua mimi ni mgeni sana hapa duniani. Au kisa tupo wachache tu(3)!!!
Hao ndugu zenu inabidi mkapime DNA,labda bi'mkubwa alimpiga changa la macho mzee. Ndugu yako ni yule mliyetoka naye tumbo moja tu.
Yaani acha kabisa mpango wangu mwakani nibaki na wanangu wawili tu ndugu tupa kulee!!!kwanza wanaafiki watupu unawasaidia halafu wanakusemanga!big up nyote mnaoishi na watoto wenu tu! Nuclear family ndugu kulostishana tu.
Mi nili apply kwangu hiyo tangu mwaka juzi, niliona huu ni ujinga sasa heri nibaki na watoto wangu, ndg wa damu na mme wangu.
Hata ingekuwa ni wewe ni kawaida watoto wanaoshare mama wana maelewano tofauti na watoto walioshare babaMimi kaka zangu na dada zangu wote tunao'share baba sio tu hatuwasiliani lakini tuna bifu kabisa....kisa mzee alimuacha mama yao
Sio wote kama mmependana ki hivyo shukuru Mungu, maana humo humo tumbo wanatokaga mpaka kengeMimi mbona ndugu yangu ndo aliyeninyanyua pale nilipojua mimi ni mgeni sana hapa duniani. Au kisa tupo wachache tu(3)!!!
Hao ndugu zenu inabidi mkapime DNA,labda bi'mkubwa alimpiga changa la macho mzee. Ndugu yako ni yule mliyetoka naye tumbo moja tu.
Na kukuroga juuUjamaa na undugu ni chanzo kikubwa cha umaskini wetu, ukipata kinafasi kidogo utanyonyolewa hadi ujute... ukikaza tu utasemwa balaa.
Ndugu wana msemo wao wanakwambia "ndugu yetu unajitenga sana kwenye matukio ya kifamilia, na wewe kwenye matukio yako usishangae watu waspokuja. mkwara mwingine wanasema ukifa utazikwa na nani kama ndugu zao hupatani nao?"
Ila ndugu haohao wanaotaka uwe nao karibu ndio haohao ukigeuza kisogo wanakung'ong'a.
pumbav.
Tena sana
Kuzikwa ni kuzikwa hata serikali inazika watu wake, hakuna maiti isiyozikwa , huyo anasema hivyo akitangulia yeye nawe usimzike? Pumbafu sana!Ndugu wana msemo wao wanakwambia "ndugu yetu unajitenga sana kwenye matukio ya kifamilia, na wewe kwenye matukio yako usishangae watu waspokuja. mkwara mwingine wanasema ukifa utazikwa na nani kama ndugu zao hupatani nao?"
Ila ndugu haohao wanaotaka uwe nao karibu ndio haohao ukigeuza kisogo wanakung'ong'a.
pumbav.