Siku hizi undugu ni ‘overrated’

Siku hizi undugu ni ‘overrated’

Yaani acha kabisa mpango wangu mwakani nibaki na wanangu wawili tu ndugu tupa kulee!!!kwanza wanaafiki watupu unawasaidia halafu wanakusemanga!big up nyote mnaoishi na watoto wenu tu!nuclear family ndugu kulostishana tu
Ndugu wana msemo wao wanakwambia "ndugu yetu unajitenga sana kwenye matukio ya kifamilia, na wewe kwenye matukio yako usishangae watu waspokuja. mkwara mwingine wanasema ukifa utazikwa na nani kama ndugu zao hupatani nao?"

Ila ndugu haohao wanaotaka uwe nao karibu ndio haohao ukigeuza kisogo wanakung'ong'a.

pumbav.
 
Acha kabisa sina hamu nao ndugu sio kuna shemeji yangu juzi kanipiga 300k yaani mmeapa afe kipa, afe beki hela atalipa sitakagi ujinga Mimi!

Mbaya zaidi mtoto wa kiume anakua anantapeli halafu Mimi mwenyewe niliagizwa na mtu nimfanyie kazi!nililia jamani siku almost wiki nzima nawaza why!
 
Hivi mki'share baba sio ndugu eti?

Hili swali ni mjadala sababu hata vitabu vya dini baadhi vimegawa ndugu kwa mafungu mafungu kutokana na kuwa ama wana mama mmoja na wana jamaa zao wanaotokana na baba yao mfano watoto wa Yakobo.

Hapa tunaweza kujuzana zaidi ila kwa upande wangu hao ni jamaa zako tu ndugu ni wale toka nitoke. Ndio maana tuna Wazazi, Ndugu, Jamaa na Marafiki haya ni makundi tofauti kabisa ya wapendwa wetu.
 
Acha kabisa sina hamu nao ndugu sio kuna shemeji yangu juzi kanipiga 300k yaani mmeapa afe kipa, afe beki hela atalipa sitakagi ujinga Mimi!

Mbaya zaidi mtoto wa kiume anakua anantapeli halafu Mimi mwenyewe niliagizwa na mtu nimfanyie kazi!nililia jamani siku almost wiki nzima nawaza why!
Pole sana dadangu!!! Inaumiza
 
Mimi mbona ndugu yangu ndo aliyeninyanyua pale nilipojua mimi ni mgeni sana hapa duniani...Au kisa tupo wachache tu(3)!!!

Hao ndugu zenu inabidi mkapime DNA,labda bi'mkubwa alimpiga changa la macho mzee.
Ndugu yako ni yule mliyetoka naye tumbo moja tu.
Na mm nakazia, ndugu yako ni yule mlietoka nae tumbo moja.
 
Kwanza nikupe pole sana Jambo lililokukuta kuhusiana na ndugu yako huyo aliekukazia japokua hujataka kuweka wazi.
La pili elewa huu ndo uhalisia wa maisha pambana
 
Mimi mbona ndugu yangu ndo aliyeninyanyua pale nilipojua mimi ni mgeni sana hapa duniani. Au kisa tupo wachache tu(3)!!!

Hao ndugu zenu inabidi mkapime DNA,labda bi'mkubwa alimpiga changa la macho mzee. Ndugu yako ni yule mliyetoka naye tumbo moja tu.
Sio wote wabaya wema wapo pia miongoni mwao
 
Biblia yenyewe imesema "na alaaniwe amtegemeaye mtu na mwanadamu" Waswali "mtegemea cha nduguye ufa maskini.
Mkuu sasa hivi kila mtu anapambana na hali yake. Komaa tu
 
Back
Top Bottom