Siku ambayo sitaisahau maishani

Siku ambayo sitaisahau maishani

Hv wakina mama mnajua sisi wanaume tunaposubiri ninyi kutoka leba huwa tunaumia inawezekana hata zaidi ya ninyi, hongereni sana but sitasahau mke wangu alipoingia huko kila kitu kilisimama mwilini mwangu, nampongeza na baba wa mtoto pia!

usinichekeshe !
kuna siku nilimpeleka mke mwenzangu hospitali alishikwa na uchungu(mtoto wake wa pili) akiwa home kwangu!
sas tupo hospitali mumewe na mume wangu wakaja!
yeye akawa ameshaingia labor ward!
huku nje mwanaume anahangaika!mpka anatia huruma !tukamuuliza vipi?akasema we acha tu shem UCHUNGU UNAUMA BWANA!
kwa kweli pale nilishindwa kucheka tulicheka sana baada ya mkewe kujifungua!
 
Na wa kwangu nilimkata akiwa 7 ingawa baba yake hakupenda, alitaka katwe baada ya balehe; sijui kwanini!
Mine was brave, hakulia nafikiri ni ganzi ilisaidia.

Waoooh real kwa hiyo nashea na mwanao age ya kukatwa khaaaa ila nimekumbuka mbali nilikuwa nanuliwa vitumbua mara kwa mara na mama sijui alikuwa na maana gani enzi hizo.
 
Hahaaa, wangu atakuwa padre wa kikatoliki (hawaoi hao) sakapal. Mwambie rainer aende njia hiyo pia!

Nawish ila ntajaribu kumuelekeza akigoma ntamuacha maana kulazimisha somo nalo ndo changamoto yenyewe hiyo ya malezi, sasa unakuta mie nataka awe padre baba anataka awe injinia patamu hapo hehehehee.
 
Kuna ka-zawadi nataka nika-foward bhana
Mie salama salmini kabisa" hofu na mashaka ni wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu" :becky:

Karibu asante kwa zawadi in advance kabla sijaipokea. Vp wewe umebahatika kulea na kukuza au bado? au malezi umemuachia mkeo na unasubiri kwenda kumvisha joho na kutoa nasaha siku ya harusi? Changamoto hiyo ya malezi.
 
Nilikatwa nikiwa na age ya miaka 7 jumrisha na ubonge niliokuwa nao pamoja na utundu basi ilikuwa balaa kupona ila na wewe pole kwa kumthamini mwanao umenifanya nizidi kumheshimu na kumpenda mama watoto wangu aliyenizalia my son.

Asante nawe nakutakia malezi mema kwa kijana wako.
 
Hongera sana mama Rainer kwa kukuza, fikisha pia Hongera zangu kwa Rainer mwenyewe na babaake. Happy birthday.

Asante Zorrander kwa pongezi salamu ntafikisha kwa Rainer ila kwa baba yake mmmhhh nimeweka break.
 
happy birthday RAINER may god bless u cku zote za maisha yako......pole sana mama na pia hongera
 
Karibu asante kwa zawadi in advance kabla sijaipokea. Vp wewe umebahatika kulea na kukuza au bado? au malezi umemuachia mkeo na unasubiri kwenda kumvisha joho na kutoa nasaha siku ya harusi? Changamoto hiyo ya malezi.

Mimi ni mkristo!
Kwenye bible imeandikwa wakina baba msiwachokoze watoto wenu, ila waleeni
Kwa hiyo kazi ya kulea ni ya baba na si ya mama..!
""Efeso 6:4 Nanyi wakina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya BWANA."
 
asante sikuwa nalijua hili andiko hata mie ni mkristo.
 
usinichekeshe !
kuna siku nilimpeleka mke mwenzangu hospitali alishikwa na uchungu(mtoto wake wa pili) akiwa home kwangu!
sas tupo hospitali mumewe na mume wangu wakaja!
yeye akawa ameshaingia labor ward!
huku nje mwanaume anahangaika!mpka anatia huruma !tukamuuliza vipi?akasema we acha tu shem UCHUNGU UNAUMA BWANA!
kwa kweli pale nilishindwa kucheka tulicheka sana baada ya mkewe kujifungua!

asikuambie mtu bana ni mateso sana tuu bora aliyeingia chumba cha mtihani si anayesubiri kuingia kwenye mtihani
 
Mimi ni mkristo!
Kwenye bible imeandikwa wakina baba msiwachokoze watoto wenu, ila waleeni
Kwa hiyo kazi ya kulea ni ya baba na si ya mama..!
""Efeso 6:4 Nanyi wakina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya BWANA."

Hiyo sio maana yake. Biblia ikitafsiriwa kama wale wanaotafsiri Mwenge tutapotea.

Agizo hilo linamtaka baba kutotumia nguvu yake kama baba kuwakandamiza walio chini yake, badala yake awe mfano kwao kwa uchaji na maonyo ya Bwana.
 
happy birthdaY Rainer muheshimu mama utajaliwa amani hapa duniani na huko mbinguni
 
HAPPY BIRTHDAY RAINER! Mvua ya baraka izidi kukunyeshea siku zote za maisha yako.
 
Hii ni habari ya kweli na leo ndio birthday ya kifungua mimba wangu Rainer, karibuni tushereheke pamoja, je wewe unakitu gani ambacho hutakaa ukisahau maishani mwako? Karibuni nawakilisha.
Birthday ya ngapi leo?
wakati Mzee bado yupo nje au karudi?
Ni zawadi gani unapenda mtoto apewe katika Birthday yake
Ongeza story ingine kwani mm nakupa Big-Up
 
Uzazi wa Tanzania ni nusu ya kifo, wenzatu kwao walisha piga hatua, uzazi ni neema

Mkuu, uzazi wa Tanzania ni mgumu, lakin kusema ukweli uzazi ni Uzaza tu. Ile shughuli sii mchezo mkuu. Vijana wangu wawili wamezaliwa huko kwa wenzetu walikopiga hatua. Nilibahatika mara zote mbili kumpa kampani mamsap kuanzia mwanzo hadi mwisho wa shughuli yenyewe. Pamoja na vifaa na mazingira bora, bado nilikuwa naona kama nakaribia kumpoteza mwenza. Ilifika mahali manesi wakaacha kumshughuikia mama wakaanza kudeal na mimi. Wakina mama ni viumbe wa kuheshimiwa sana!
 
huyo Nesi
Ana Roho Mbaya
Et "Haunipi Hela Ya Soda!"

He wewe Majigo, bora utoe kuliko kumnyima, maana anaweza akakataa kutoa mtoto wako yale maji machafu kama kanywa, pia kama ana tatizo hakwambii anakuacha , ila ukimpa hicho kidogo anakusaidia hata kukupatia dawa ya maumivu.
Kama sisi wengine kuzaa mpaka kuongezwa njia, sasa ukikataa kumpa anakushonga bila ganzi , weeeeeeeee acha usikie hivyo hivyo, utaona rangi zote.
 
Hivi kwa nini matabibu wa bongo hawatoi dawa za kuondoa maumivu ya kuzaa. This is unyanyasaji...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom