Kwa nini husiMP Wewe?
Asante MESTOD ni kweli Rainer anamdogo wake wa kike vp unataka kumposea kijana wako au una binti nimpose kwa Rainer?.......(kidding)
Kimbweka niaje? salama? kuna notes zimekustua kitu? karibu pm mie ntakujibu, sorry kuchelewa kukujibu hapa nilitoka kidogo. Nidokeze basi huko pm ni jambo gani hilo la muhimu tafadhali.
Penelope sio gharama ya pesa ila hekaheka yani ni kujitoa mhanga kuna muda hata usiku we unaona mchana ashkwambie mtu mama ni kitu muhimu .
huyo Nesi
Ana Roho Mbaya
Et "Haunipi Hela Ya Soda!"
pole sana Billie ila kwani ulichelewa kuta****wa? dooh! maumivu yake inaweza kukaribia maumivu ya uchungu wa uzazi. Mie Rainer wangu nilimtah*** mapema kabla hata hajafikisha miaka 2.
ahahahhahaha mi nategeaga mwenzio duh!aka 6 yule na huyu,dogo mpka sa hizi aka 8 hana mdpgp wake lol!natamanije sasa!kikitiki uniandalie baby shower my wee!
Nilikatwa nikiwa na age ya miaka 7 jumrisha na ubonge niliokuwa nao pamoja na utundu basi ilikuwa balaa kupona ila na wewe pole kwa kumthamini mwanao umenifanya nizidi kumheshimu na kumpenda mama watoto wangu aliyenizalia my son.
Hv wakina mama mnajua sisi wanaume tunaposubiri ninyi kutoka leba huwa tunaumia inawezekana hata zaidi ya ninyi, hongereni sana but sitasahau mke wangu alipoingia huko kila kitu kilisimama mwilini mwangu, nampongeza na baba wa mtoto pia!
Happy birthday to Rainer na hongera mama Rainer; kwanza kwa kujifungua salama leo saa hizi na pili kwa kuwa na kumbux2 ya jambo lililotokea miaka 14 iliyopita