Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,862
Najaribu tu kujiuliza, mzee mwenzangu Bujibuji atakapo amua kuingia kwenye siasa, ndoa yake na Mamndenyi itaendelea kweli? Mama ni mnazi wa magamba wakati Bujibuji shabiki mkubwa wa vyama vya mageuzi, Je Mamndenyi ataendelea kupokea posho sehemu 2? Na Bujibuji ataaminiwa huko kwenye chama chake? Najaribu tu kujiuliza!?