Siku ambayo bujibuji atakapoingia kwenye siasa

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
7,509
6,861
Najaribu tu kujiuliza, mzee mwenzangu Bujibuji atakapo amua kuingia kwenye siasa, ndoa yake na Mamndenyi itaendelea kweli? Mama ni mnazi wa magamba wakati Bujibuji shabiki mkubwa wa vyama vya mageuzi, Je Mamndenyi ataendelea kupokea posho sehemu 2? Na Bujibuji ataaminiwa huko kwenye chama chake? Najaribu tu kujiuliza!?
 
Me naona hakuna tatizo wanaweza kua pamoja hatakama "wameolewa" na vyama tofauti
 
Kabla hajaolewa na chama alikuwa adui wa ccm. Tangu ameolewa na chama amekuwa gamba haswaa ili amridhishe chama. Hata akiolewa na dovutwa basi atahamia chama cha dovutwa
hee hee hee kwa hiyo unataka kusema mwanamke hana chama kama ambavyo huwa inasemwa kwamba mwanamke hana dini!!
 
hiyo itakua ndoa ndoano ila Mamndenyi kwa fursa hajambo, maana alimeendea mshiko wa Ben kutoka kwa MM kipindi kileee
 
nasubiri kuona wanavyojitetea maana hyo ndoa ni majanga.
 
utafiti na wewe kumbe humfaham Bujibuji . Ni kweli kwenye msiba alikuwepo ila pembeni ya obama akihutubia saa zile
 
Last edited by a moderator:
We endelea kujiuliza tu, maana hilo kamwe haliwezi kutokea...
Kwa taarifa yako Bujibuji hawezi siasa kwa sababu hajui kudanganya ..........

Ha ha ha Mtambuzi.. Tatizo kubwa la Bujibuji uongo wake ni kwa akina dada tu.. kwenye siasa hawezi kuongopa kwa kuwa anajua watamla nyama lol.. Huyo Mamndenyi aliongopewa na Bujibuji mpaka akakonda..
 
Last edited by a moderator:
Najaribu tu kujiuliza, mzee mwenzangu Bujibuji atakapo amua kuingia kwenye siasa, ndoa yake na Mamndenyi itaendelea kweli? Mama ni mnazi wa magamba wakati Bujibuji shabiki mkubwa wa vyama vya mageuzi, Je Mamndenyi ataendelea kupokea posho sehemu 2? Na Bujibuji ataaminiwa huko kwenye chama chake? Najaribu tu kujiuliza!?
Mamndenyi kisha niacha, siku hizi anapepea na chama.
Waswahili wanasema kuvuja kwa pakacha ni nafuu kwa mchukuzi.
Siku hizi wachagga wamebadilika sana, wanaua na kujiua, kinyume cha hapo wanachoma nyumba moto.
Wacha niingie zangu rasmi kwenye duru la siasa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hivi niko siasani ama mapenzini? Ama mapenzi na siasa?

MMS- teh! Sio MMU tena!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom