isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
- Thread starter
- #81
Ugumu unaupata wapi Daviie?Duh huu uzi mgumu sana.
Ugumu unaupata wapi Daviie?Duh huu uzi mgumu sana.
Mapepo kwa tafsiri ya haraka ni nini labda?We muanzisha thread una mapepo?
Ongea kuhusu nibiru kwa fact weka hoja za kitaalamu mezani tukuamini...kwann uandike kitu usichokijua au kubali hujui upewe darasa
Ok reseach nyingi za anga za juu zina gharama kubwa sana na bajeti yake inachukua mamilion ya fedha ,kiuhalisia nchi ambazo zimeweza kutenga bajeti kwajili ya masuala ya anga za juu ni chache USA URUSI NA KWA MBALI CHINA HAPO TANZANIA HAIPOAhaa kumbe ni NASA walisema nilifahamu labda umethibitisha hayo mwenyewe kwa tafiti zenye proofs, evidence na picha kama unavyodai.
Tunalima sana matikitiVipi fursa za kibiashara huko Saturn?!
Mimi nipo jupiter mzee we endelea kubishaKwa kutumia takwimu za kisayansi naona uwezekano wako wa kusafiri hadi Jupiter ni haiwezakani maana hata Mars imekuwa ngumu.
Nikiongea Nibiru ifahamike ni sayari iliyopakana kwa ukaribu mkubwa na Dunia. Inayopelekea kuweza kuona hata mwezi wa dunia ukiwa Nibiru.
Inasemekana nibiru ni moja ya sayari kubwa sana na inakuja kwa kasi kwa uwelekeo wa dunia ni kama zita colide ivi, na inaonekana huko alaska jua likiwalina chomozaPopulation yao ni watu 9.31 Million.
Ukisema hana mwisho una maanisha nini?Unayofahamu kuhusu ulimwengu huu ni asilimia 4 tu! Zidisha jitihada kuweza kufikia hatua kubwa zaidi.
Kumbuka wewe huna mwisho.
Ni sayari kubwa hakika lakini haijafikia ukubwa wa Earth.Inasemekana nibiru ni moja ya sayari kubwa sana na inakuja kwa kasi kwa uwelekeo wa dunia ni kama zita colide ivi, na inaonekana huko alaska jua likiwalina chomoza
Ningelikuwa sikufika Nibiru basi nisingelieza kutambua muonekano huo wa Gold.Daaa umenitangulia tu kuja humu.tena inasemekana gold zote za duniani zinaenda huko ili kupunguza joto lililotokana na uharibifu wa mazingira.
Tangu karne nyingi dhahab inachimbwa haijulikani inaenda wapi ni huku.wanaochimba ni maajenti tu. Ila sasa wewe hujawahi kwenda umetuongopea.
Summerians ni waafrika wa kale kwa maelezo ya Dr sicchin
Hata kifo sio mwisho, kuna mwanzo unaanza tena na tena.Ukisema hana mwisho una maanisha nini?
Paji lako la uso linaonyesha ni mtu usiyetaka mafanikio ya wenzio, mbinafsi na mwenye kutumia vibaya nafasi pindi unavyopewa.https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1506734/ uchizi wako umeanza mda sana.
Kwa hakika unazidi kudhihirisha haiba ya binadamu wa sayari Dunia kwa 99 asilimia.Ok reseach nyingi za anga za juu zina gharama kubwa sana na bajeti yake inachukua mamilion ya fedha ,kiuhalisia nchi ambazo zimeweza kutenga bajeti kwajili ya masuala ya anga za juu ni chache USA URUSI NA KWA MBALI CHINA HAPO TANZANIA HAIPO
Unapozungumzia hoja usidhani kila mtu anaweza enda anga za juu kama unvyoenda chooni (kwa mawazo yako)
So unaposema vitu jaribu kufikiria kitaalamu with facts wewe utakua ulipanda ndege za wauza matikikiti ukaota kuwa umefika nibiru huna hoja za maana