Nilitumia ndege maalum.Ulitumia usafiri gani kwenda huko?
Ilikuwa ni tour ya kimafunzo na siyo kitalii. Hivyo sikuruhusiwa kuchukia picha.Yaani maneno yote hayo umeshindwa kuweka hata picha?
hakuna kitu kama hicho hapa duniani.Ilikuwa ni tour ya kimafunzo na siyo kitalii. Hivyo sikuruhusiwa kuchukia picha.
Director nani?Hio movie
Nimeelezea experience binafsi na sio movie ukihitaji movie andaa bajeti iweze kufanyika maana ninao utaalamu wa masuala hayo kutoka Nibiru.Naomba link ya movie mkuu maana nahisi hujaeleza vizuri
Kitu kinachowaangusha asilimia kubwa ya wanadamu katika sayari ya Dunia ni fikra zinazowatuma upo ukomo wa kufikiri, kutafiti na kujifunza masuala mapya.Wahi hospitali, tokomeza mbu na mazalia yake ili kujikinga na malaria sugu kama hizi.
Binafsi sifahamu maana nilisafirishwa na jamaa kadha wa kadha wanaofanya tafiti huko Nibiru.Nauli bei gani mpaka Nibiru?
Swali zuri sana,OK fine umeenda umefanikiwa kurudu na kitu gani!? Kama umerudi na maneno tu basi umetoka google wewe kwa mb za jero
Niheshima kubwa kabisa kuweza kuitwa Nibirian.Kuanzia leo ID yako ni Nibiru!
Samahani! Uchawi ni nini?Ni sehemu ya mafunzo ya kichawi?
Uzuri nimeeleza wazi kuwa ni sayari ya Nibiru. Hamna sehemu niliyotanabaisha kuwa ni dunia.hakuna kitu kama hicho hapa duniani.
Labda stimu za ganja