Siku 28 nilizokuwa katika sayari ya Nibiru

Population yao ni watu 9.31 Million.
Wewe ni muongo hakuna sayari yenye viumbe hai na maji safi zaidi ya dunia katika zilizogunduliwa ok hewa ya huko ni ya aina gani pia uache porojo rusha picha za huko kama kweli kuna watu la sivyo wewe ni muongo mkubwa
 
Una Nini Cha ziada ambacho kitafanya sisi tukuamini Kama proof ya chochote ulichokuja nacho tokea huko..?
Ninayo njia mbadala ya mfumo katika kuliongoza taifa.

Nina recipes list za kuwezesha kutengeneza tiba dhidi ya HIV na kinga ya kuua tumors zinazoweza kuleta Cancer (Saratani).

Mfumo wa elimu ya kisasa, sanaa na michezo.

Na mengine kadha wa kadha.
 
Wewe ni muongo hakuna sayari yenye viumbe hai na maji safi zaidi ya dunia katika zilizogunduliwa ok hewa ya huko ni ya aina gani pia uache porojo rusha picha za huko kama kweli kuna watu la sivyo wewe ni muongo mkubwa
Unayofahamu kuhusu ulimwengu huu ni asilimia 4 tu! Zidisha jitihada kuweza kufikia hatua kubwa zaidi.

Kumbuka wewe huna mwisho.
 
Ninayo njia mbadala ya mfumo katika kuliongoza taifa.

Nina recipes list za kuwezesha kutengeneza tiba dhidi ya HIV na kinga ya kuua tumors zinazoweza kuleta Cancer (Saratani).

Mfumo wa elimu ya kisasa, sanaa na michezo.

Na mengine kadha wa kadha.
Huna picha huna scientific fact huijui nibiru wewe ni mwanasiasa hiyo nibiru ni planet x kama hujui na unapokuja na mabandiko ya kisayansi uwe unakuja na fact sio uongo uongo tu .
 
Unayofahamu kuhusu ulimwengu huu ni asilimia 4 tu! Zidisha jitihada kuweza kufikia hatua kubwa zaidi.

Kumbuka wewe huna mwisho.
kwa teckonolojia ya sasa katika sayari zilizogunduliwa hakuna viumbe na kwa bajeti ya kibinaadamu uwezo wa kuzifikia nyota zinazong'aa angani haupo umbali wake ni zaidi ya miaka billions na ushee kuna galaxy zaidi ya trilions na ushee na huko kuna uwezekano wa viumbe kuisha ila teknolojia ya binadamu haina uwezo wa kufika huko
Refer NASA hawana walichogundua kuhusiana na star and thier revolution
 
Huna picha huna scientific fact huijui nibiru wewe ni mwanasiasa hiyo nibiru ni planet x kama hujui na unapokuja na mabandiko ya kisayansi uwe unakuja na fact sio uongo uongo tu .
Na huu ni uthibitisho wa binadamu wa sayari Dunia kwa asilimia 99% kuamini kwake ni lazima physicality na sense ihusike. Lakini kutwa nzima anajinasibu anaamini uwepo wa Mungu.
 
KAMA NI UANDISHI WA KIFASIHI SAWA MKUU ILA KAMA UNAMAANISHA NAOMBA UTUACHE KIDOGO
 
kwa teckonolojia ya sasa katika sayari zilizogunduliwa hakuna viumbe na kwa bajeti ya kibinaadamu uwezo wa kuzifikia nyota zinazong'aa angani haupo umbali wake ni zaidi ya miaka billions na ushee kuna galaxy zaidi ya trilions na ushee na huko kuna uwezekano wa viumbe kuisha ila teknolojia ya binadamu haina uwezo wa kufika huko
Refer NASA hawana walichogundua kuhusiana na star and thier revolution
Ahaa kumbe ni NASA walisema nilifahamu labda umethibitisha hayo mwenyewe kwa tafiti zenye proofs, evidence na picha kama unavyodai.
 
Na huu ni uthibitisho wa binadamu wa sayari Dunia kwa asilimia 99% kuamini kwake ni lazima physicality na sense ihusike. Lakini kutwa nzima anajinasibu anaamini uwepo wa Mungu.
We muanzisha thread una mapepo?
Ongea kuhusu nibiru kwa fact weka hoja za kitaalamu mezani tukuamini...kwann uandike kitu usichokijua au kubali hujui upewe darasa
 
Back
Top Bottom