isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
- Thread starter
- #141
Nadhani unamaanisha Thread ya kwanza kabisa?! Yeah, kikubwa ni ukweli na uwazi na ithibati ya hayo yote.hiyo thread nimecheka hadi nimeishiwa nguvu, sio kwa ubaya ila hapo amesema amemtungia beat shakira, alicia keys , robin schulz[emoji28] dah ameniua sana aisee, ndugu yangu hadi ushafanya kazi warner bros na ushakua architect, mbona umefanya vingi wakati sahivi una 18 yrs[emoji28]