jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 480
- 640
Mzee baba, safari ijayo unikumbuke twende pamoja...please please please!
Panapo majaliwa.Mzee baba, safari ijayo unikumbuke twende pamoja...please please please!
Aisee sawa mkuuHata kifo sio mwisho, kuna mwanzo unaanza tena na tena.
Unaweza kusanya taka na kutunza mazingira.Garbage.
A fool lives in fantasy. A wise man lives in reality.Unaweza kusanya taka na kutunza mazingira.
Thoughts dawned under horizon.A fool lives in fantasy. A wise man lives in reality.
Wakati nasoma hili swali nlikuwa najiuliza polepoleKwamba siku 28!! Ulitumia usafiri gani kufika huko na kwanini mji mkuu uitwe nibiri wkt Hilo jina limetungwa nasi..?
Vip kuhus mamb ya dini na vip kuhusu dark magic, supernatural human gifted peoplesNi sayari kubwa hakika lakini haijafikia ukubwa wa Earth.
Mkuu Sjanic, naamini kabla hujafika huko nibiru ulikuwa unapata ugumu sana kuamini habari za huko, mpaka pale ulipofikishwa huko.Ugumu unaupata wapi Daviie?
Niliweza gundua ya kuwa wanaamini Mungu lakini sikuona dalili za dini wala utumwa wa namna hiyo.Vip kuhus mamb ya dini na vip kuhusu dark magic, supernatural human gifted peoples
Aisee 😁nimesoma kidogo nilipofika kwenye "MELEMETA" nikaacha nikaja ku comment. bro siyo ugomvi au dharau ila you need medical attention