Siku 28 nilizokuwa katika sayari ya Nibiru

Siku 28 nilizokuwa katika sayari ya Nibiru

"Hakuna fedha wala kubadilishana bidhaa" Je hizo benki zilizopo makao makuu Nibiiri ni benki za damu ? Kweli ukiwa muongo na kumbukumbu uwe nazo..
Tafsiri ya Benki inasimama kuwakilisha masuala kadhaa. Benki Kuu ya Nibiru "Tveristidty Caún'd Nibiru" inahusika na utanzaji wa rasilimali zizofanyiwa tafiti na kuhodhiwa, rasilimali hizo ni masuala ya kiteknolojia, sanaa na science.

Hint! 2020 kuna jambo kubwa dunia itapata kutoka Nibiru.
 
Ngozi ya hAo viumbe ni rangi gan? Vichwa vyao vip, viganja vya mikono na miguu vidole vipo vingapi
Kwa asilimia 99 ni binadamu kama sisi tofauti yao ni kuwa wakubwa kuanzia 6.8 Feet na uwezo wao wa kufikiri, kubuni, uchakataji data na mfumo wa kiakili ni mkubwa zaidi.
 
Tuache longolongo ndege iliyokupeleka zipo duniani tunaomba picha zake je hiyo sayari ipo wapi kati ya seen unversal au unforseen universal pia kutumalizia utata ipo katika galaxy ipi na mile ngapi kutoka dunian na ukisafiri kutoka dunian unatumia muda gan
 
Kwamba siku 28!! Ulitumia usafiri gani kufika huko na kwanini mji mkuu uitwe nibiri wkt Hilo jina limetungwa nasi..?
Ndege maalum inayoondoka kutokea Uswissi na inachukua 8 Days kufika Nibiru.

Sina hakika juu ya NIBIRII lakini ndio eneo maalufu na kubwa kiutendaji ni mfano wa Guangzhou, Dubai, Sydney, Köln au New York kidunia.
 
Ukiwa na umri kuanzia miaka mitano mpaka nane ni hadithi nzuri na yenye kukupa furaha.
 
Ndege maalum inayoondoka kutokea Uswissi na inachukua 8 Days kufika Nibiru.

Sina hakika juu ya NIBIRII lakini ndio eneo maalufu na kubwa kiutendaji ni mfano wa Guangzhou, Dubai, Sydney, Köln au New York kidunia.
Wewe ni muongo siku 8 ulikia hapa hapa dunian
 
Ndege maalum inayoondoka kutokea Uswissi na inachukua 8 Days kufika Nibiru.

Sina hakika juu ya NIBIRII lakini ndio eneo maalufu na kubwa kiutendaji ni mfano wa Guangzhou, Dubai, Sydney, Köln au New York kidunia.
Una Nini Cha ziada ambacho kitafanya sisi tukuamini Kama proof ya chochote ulichokuja nacho tokea huko..?
 
Mi niko hapa jupiter mkuu
Nibiru nlkuja last week
Ila sema wengi huwa tunapenda kuzamia saturn
Saturn ni kutamu mazee
Kwa kutumia takwimu za kisayansi naona uwezekano wako wa kusafiri hadi Jupiter ni haiwezakani maana hata Mars imekuwa ngumu.

Nikiongea Nibiru ifahamike ni sayari iliyopakana kwa ukaribu mkubwa na Dunia. Inayopelekea kuweza kuona hata mwezi wa dunia ukiwa Nibiru.
 
Hii chai ina tangawizi nyinhi sana.. Imenishinda
"Kukata tamaa ni moja ya kipaji cha binadamu waishio katika dunia, huku wakizungukwa na neno (kwanini) ni nzito hakika" - Frtians Caziiu (Director of Creativity in Nibiru)
 
Back
Top Bottom