Siku 200 za Lowassa UKAWA

Siku 200 za Lowassa UKAWA

Milioni hamsini kila kijiji ipo wapi? Walimu wote kupewa komputer mpakato wapi? Nakumbuka alisema anajua kupika ameshaanza kusonga ugali?
uzi wa siku 200 za lowassa umegeuka uzi wa Magufuli, huyu jamaa anawanyima usingizi. Toka asilimia 39 ya kupendwa mpaka 9.6, si mchezo! BACKWARD MARCHING!!
 
chadema ntakipenda siku zote....
ccm ntawafundisha na vizaz vyangu wakichukie........
long live EDU LOWASSA
 
chadema imezidi kupendwa na kuaminiwa na watanzania.
upinzani kwa ujumla wake nchini unazidi kupata nguvu zaidi hasa baada ya watanzania kushuhudia waliowahi kuwa viongozi mashahuhuri hapa nchini kama MZEE LOWASSA NA SUMAYE wakijiunga na upinzani chini ya kauli mbiu ya MABADILIKO, LOWASSA NA LOWASSA MABADILIKO
 
Bora Nyumbu kuliko fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondoke ndio afaidi kama wewe
Chance mlikuwa nayo awamu ya nne walivurunda sana, hata tundu lissu alisema pia kuwa ktk sisiemu kulikuwa na mpasuko ambao hujawahi tokea, hivyo wangeotumia fursa ila bahati mbaya Mungu akawaletea Magufuli, hapo mwendo wa chadema ukawa downwards tu.
 
Mnatupotezea muda tu maana haiwezekani mpandikize majipu wenyewe halafu myatumbue wenyewe! Hii nchi haihitaji maigizo maana tuna matatizo kibao, Nchi haihitaji Magufuli bora bali tunahitaji misingi bora ya uongozi na hii itamalizwa na katiba ya warioba na tume huru ya uchaguzi!
 
Kipi kaongeza kwenye taifa?

Angetimiza ahadi yake akishindwa uchaguzi anaenda kuchunga ng'ombe

Badala yake kabanana hapa mjini kutafuta kiki

Haaminiki huyo fisodo
Zaidi kaongoza maandamano ya misiba. Kweli wameimarika tehee tehee
 
Cdm kuwaamini unatakiwa uwe na akiri ya kushikiwa. Imeimaritka wapi cdm? Hatumssikii mwenyekiti wala katbu chama ameachiwa lowasa
Kwani CCM kimeimarika? Hukusikia mapovu ya M/kiti wako huko Singida? Picha ilijionyesha, chama kimechoka kabisa.
 
Siku 200 za Lowassa UKAWA

Tanzania umepata mabadiliko makuwa
Kisiasa na kiuchumi

Serikali imeweza kutambua kwa kiasi fulani majuku na kutenda kazi kwa manufaa ya watanzania

Ameifanya serikali ikeshe usiku na mchana kutafta ni wapi kuna tatizo na kupelekea ziara za KUSHITUKIZA mahospital na Maeneo mengi ya jamii
Ameifanya Serikali kujiweka karibu saana na Wananchi hili limefanikishwa kwa kiwango fulani

Ameifanya jamii ijue na Kutambua kuwa Tanzania inaweza kujitegemea na serikali kuitendea haki jamii yake


Amefanya maadili na uwajibikaji kwa wafanyakazi maofsini kurudi kama enzi zile za MWALIMU

Ameitambulisha na Tanzania mpya kimataifa kisiasa kijamii na kiuchumi kuwa komavu

Mapomoja na skendo ya Richmond ila amewaonyesha watanzania nuru ya kuwa tunayoyasikia ni madogo yapo makubwa hatuyajui mfano swala la KODI

UWEPO WA LOWASSA NI MATUNDA YA SASA TUNAYOSHANGILIA WENGNE NA KUONA KUWA TUNAWEZA

KAILAZIMISHA SERIKALI KUTOA ELIMU BURE AMBAYO KWA KIASI FURANI BADO NI CHANGAMOTO ILA TUWE NASUBLA BADO MWANZO
 
Lowassa ndani ya siku 200 kasababisha Chadema ifute orodha ya Mafisadi Papa 11 (List of shame) kwenye Tovuti ya Chama iliyowekwa tangu 2007.
Yakweli ni nyingi hata kwenye website ya ccm haitoshi
 
Back
Top Bottom