Siku 200 za Lowassa UKAWA

Siku 200 za Lowassa UKAWA

Hivi nyinyi CCM mnamtakia Nini Mzee wetu?? Kwanini hamumzungumzii Hashim Rungwe??? Au Yule mama Anna wa ACT.. Hii inatoa picha flani.. Endeleeni hivyo hivyo..
 
Cdm kuwaamini unatakiwa uwe na akiri ya kushikiwa. Imeimaritka wapi cdm? Hatumssikii mwenyekiti wala katbu chama ameachiwa lowasa

Wanamvutia pumzi, hao vijana hawana masihala akijifanya yy ndio kilakitu wata muondoa, washamtumia, na wamefanikiwa kuvuna wabunge wa kutosha kaziyake imeshaisha sasa wanajiuliza tutamuondoa vipi huyu, ww ngoja ushuhudie kitakachomkuta kabla ya 2020.
 
Afadhali lowasa aondolewe wabaki cdm halisi.hata kama sio mwana cdm utaipenda tu kwa mapambano yake na dollar
 
Wenye Sera ni wale wezi wa Mali za Taifa.Na wengine wezi wa Mafuta.

Lazima Mtafuteni namna ya kuficha maovu mnajidai mnatumbua majipu.Kama mnaubavu katumbueni ya Wizara ya Ujenzi

Makweta kawaambia mrudishe nyumba za serikali kwanza
 
Manabii huwa wanatetea hadi damu zao kuvuja kwa kupigwa ama kuteswa sasa mamvi ni nabii gani anaejinyea bhanaa mbona huu unabii umekuwa unatajwatajwa ndivyo sivyo???
 
Siku 200 mafisadi woote kwake amefanikiwa
 
Afadhali lowasa aondolewe wabaki cdm halisi.hata kama sio mwana cdm utaipenda tu kwa mapambano yake na dollar
Ukiwa unapenda kitu hata kwenye shida itakuwa nacho.Wewe ni CCM ukaiacha CDM kwenye shida zaa hizi ndiyo unajisogeza acha hizo.Haki CCM tu
 
Imeimalikaje sasa?cdm uongozi ulifanya mambo ya mkanganyiko kibiashara,kwa nn kujifariji na mambo yalionekana?ni bola kutoa ushauli wa uchaguzi ujao,mtu aliyechafuliwa alikuja kulipa kisasi cdm na watu hawastuki tu aisee! na wengine wakakubali jamaa aje alipe kisasi wakalamba pesa,mapenzi ya chama pasi kufikili kwa kina tukaishia kutoa pongezi ni kujidanganya
Naona kale ka wimbo ka ccm ni ile ile kamekuadhiri sana
 
Kipi kaongeza kwenye taifa?

Angetimiza ahadi yake akishindwa uchaguzi anaenda kuchunga ng'ombe

Badala yake kabanana hapa mjini kutafuta kiki

Haaminiki huyo fisodo
Milioni hamsini kila kijiji ipo wapi? Walimu wote kupewa komputer mpakato wapi? Nakumbuka alisema anajua kupika ameshaanza kusonga ugali?
 
Back
Top Bottom