Nabii wa uwongi ndio hao akina lowassaLowassa ni nabii wa Tanzania, dunia inajua Na watanzania tunajua
Chadema ni kama msikiti au kanisani waovu wanaotaka kubadilika wanakalibishwa majibu na mabusha sijui yabaki huko huko masaburini...Ni kweli kabisa. Ni chama kinachopokea majipu yanayokwepa kutumbuliwa na JPM
Imeimalikaje sasa?cdm uongozi ulifanya mambo ya mkanganyiko kibiashara,kwa nn kujifariji na mambo yalionekana?ni bola kutoa ushauli wa uchaguzi ujao,mtu aliyechafuliwa alikuja kulipa kisasi cdm na watu hawastuki tu aisee! na wengine wakakubali jamaa aje alipe kisasi wakalamba pesa,mapenzi ya chama pasi kufikili kwa kina tukaishia kutoa pongezi ni kujidanganya
Hata First Lady wa watanzania wapenda mabadiliko...Chadema imekuwa imara sana, Lowasa amepiga kazi kwa muda mfupi lakini matokeo yake nadhani mnayaona. Hatakufa mpaka maono yatimie
Siku 200 za Lowasa,cdm imejizika,wote kimya na kwa kuwa hakuna skendo za kuwabeba hata bungeni no sera.
Nabii wa uwongi ndio hao akina lowassa
Siku 200 za Lowasa,cdm imejizika,wote kimya na kwa kuwa hakuna skendo za kuwabeba hata bungeni no sera.
Kijani mbona wapo wa kutosha tuu..Teh
..wafu huzikana
Mkuu upooo? Wapi ulipotelea ndugu?Hata First Lady wa watanzania wapenda mabadiliko...