Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
- Thread starter
- #81
Wewe umenufaika na kushtukizwa?Kalia hayo hayo wenzako wako madarakani.unaona hawajaimarika
Wewe umenufaika na kushtukizwa?Kalia hayo hayo wenzako wako madarakani.unaona hawajaimarika
Ni ngumu kutofautisha mapacha hasa wanaofanana toka tumbo moja la uzaziWapinzani wamepoteza luu ya demokrasia ndani ya utawala wa JK. Kwa Pombe hakika wataufyata
Tuliambiwa Tume iliundwa na waganga wa kienyeji, wakulima, makundi ya walemavu, wanafunzi na viongozi wa diniLowassa is finished.
Hata usanii wake kwa sasa ameshindwa kuuza kwa wananchi wengi pamoja na kubebwa na vyombo vingi vya habari nchini.
Hayo yapo kwenye nipashe
Chama ni Taasisi si katibu wala mwenyekiti tu,acha kuwa na mawazo mgandoCdm kuwaamini unatakiwa uwe na akiri ya kushikiwa. Imeimaritka wapi cdm? Hatumssikii mwenyekiti wala katbu chama ameachiwa lowasa
Siyo janga tuu nimtambo kabisaCcm nijanga