Siku 19 za Urais wa Samia Hassan Suluhu

Siku 19 za Urais wa Samia Hassan Suluhu

Nitafurahi zaidi haya anayoyasema yakiwa yanaendana na marekebisho ya sheria tulizonazo za kikoloni katika masuala mbalimbali nchini. Ila inchi inaonyesha kuna mwanga fulani
 
Wanaukumbi.

“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”

Hakika mkuu ,ameleta matumaini.
 
Wanaukumbi.

“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Wengine tunaweka rekodi hizi posts zenu.
 
Watu wenye akili fupi siku zote hawatizami mbali. Wao wanaangalia leo wanakula nini ya kesho hawajui.
Ni afadhari kuwa na akili fupi lakini unasimamia ukweli kuliko kijifanya unaakili ndefu halafu unaaminishwa uongo na unafiki.
 
Wanaukumbi.

“Ndani ya siku 19 za Urais wa Samia Suluhu, nchi imejawa na FURAHA, siyo kwamba amepandisha mishahara (HAPANA), siyo kwamba ameajiri (HAPANA) siyo kwamba anagawa pesa huko mitaani (HAPANA) bali ni MATAMSHI yake tu kama yanaendelea kuliponya Taifa bila sindano wala vidonge”
Ni kweli matamko ndio kila kitu ....tumeshiba kabisa
 
Usiwe punguani kwa hiyo wewe roho inakuuma siyo Rais kusifiwa.
Sukuma Gang sijui wanakasirikia nini Mama akisifiwa,wanataka kuturudisha kwenye enzi za maiti za kwenye viroba kule Coco beach. Sikujua kuwa Wasukuma wana roho mbaya kiasi hiki. Mbegu aliyoipanda askofu Chidi sasa imeanza kumea.
 
Mtambue mwenye ujumbe huo,Zitto ruyagwa kabwe, btw Ritz ulipotea sana,tangu jk ameondoka na wewe uka mute,amekuja Samia na wewe umerudi,ngoja nifanye kautafiti flani
Ah Veronica France umetokezea na huku,na agenda yako ile ile ya kutaka kumchafua Mzee wa Msoga,hivi Sukuma Gang nani aliyewaroga?
 
Alhamdulillah, angalau sasa wananchi tunapata maneno mazuri, matamu kama asali, maneno yenye matumaini makubwa ya maendeleo ya taifa hili, maneno ya kumtoa nyoka pangoni....Mama Samia ... the voice of truth.
 
Back
Top Bottom