chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,830
- 29,509
hawa ni walewale tu mkuu sema mfumo uliwatema ila hawana tofauti kubwaHuyu si mmoja wa Mataga,mataga yalipo ji form Ritz alikaa pembeni na kuwaacha mataga wa kisukuma watimuliane vumbi kwanza,vumbi limetulia amerudi