Siku 19 za Urais wa Samia Hassan Suluhu

Siku 19 za Urais wa Samia Hassan Suluhu

Jamaa yako si aliingia uoga na gesi akakimbilia kwenye SGR,sasa sijui shida nin kaamua kwenda zake,but that's life
Gesi nahisi ilitoka kwa usimamizi mahsusi wa JWTZ chini ya mstaafu wa 4..JPM huna cha kumsingizia hapa ..nyie jamaa komedi sana
 
Furaha inayoletwa na matamko yasiyo na backup ya sheria ni sawa na upepo tu.
Hiyo back up ulitaka aifanye wakati gani wakati ndio kwanza anaanza kazi ya urais. Acheni haraka zenu. Kaonyesha dhamira. Mabadiliko ya sheria yatakuja kwa wakati wake. Hiyo dhamira tu inatosha kutufanya tuwe na furaha.
 
Gesi nahisi ilitoka kwa usimamizi mahsusi wa JWTZ chini ya mstaafu wa 4..JPM huna cha kumsingizia hapa ..nyie jamaa komedi sana

Kwan mm namsingizia KWA kipi mfano,

Kwan uongo katika utawala wake watumish wa umma wameish kama mashetani?

Kwan ni uongo kuwa wafanyabiashara wamefunga biashara na wengine kukimbia nchi?

Kwani uongo kuwa ameua soko la korosho KWA wamakonde na wakulima wengine?

Uongo kuwa ameminya uhuru wa vyombo vya habari na democracy,

Ana case ya kujibu
 
Shemeji yenu JK chini ya JWTZ, gesi ilitoka au ?? hebu tuhabarishe
 
Sijasikia mkakati wake wa kuongeza ajira na kukuza uchumi

Ukimsikiliza kwa dakika 5 tu utajua mama ni mbepari pure! Anaamini sera za republican na kina trump.
Amerudia kusema private sector ndio engine ya uchumi wetu, tunawahitaji wawekezaji/wafanyabiashara kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.

Amefikia mahali kuthubutu kuangalia namna ya uchimbaji wa madini hifadhini bila kuangalia athari zake

Anaamini sector binafsi ikiimarika serikali itapata mapato, anahimiza sana kuzilea biashara, viwanda viendelee kusurvive

Anaamini ajira itatengenezwa na sector binafsi

Anaamini matatizo ya masikini yatamalizwa na matajiri/private sector ndio maana hotuba nzima kwa zaidi ya saa moja, zaidi ya robo tatu ya muda alikuwa akiwazungumzia private sector na kuwa brand kama watakatifu na kutumia au hakutumia kabisa muda kuwaongelea wananchi wa hali ya chini
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Watu wenye akili fupi siku zote hawatizami mbali. Wao wanaangalia leo wanakula nini ya kesho hawajui.
Wewe lofa Tu, MUNGU ambaye anajua kesho yetu ndiye aliyemchukua magufuli hata kama utalaumu Ila yy MUNGU alishaona huko mbele hii nchi itakuwa kama Zimbabwe,huyo MTU wenu ameshasahaulika mapema Sana na huko CCM kote wameshukuru jamaa kuondoka
 
Naona kifo cha Legend Hayati JPM himself kimewafurahisha baadhi ya watu. Wengine walikuwa wamejificha sasa wameibuka rasmi.

Dah, Kweli mswahili ni mswahili tu.
 
Alhabiib Kahtaan,

Just like the good old days Mkuu,

We are back,ready to address the haters...!!
Hahaha...
I like that bro. Umenipa raha sana maalim Mufti Big Show.
Paroko nuksi. Halafu wakiambiwa kiti moto najisi wanarusha ngumi hewani.
 
Ukimsikiliza kwa dakika 5 tu utajua mama ni mbepari pure! Anaamini sera za republican na kina trump.
Amerudia kusema private sector ndio engine ya uchumi wetu, tunawahitaji wawekezaji/wafanyabiashara kuliko wao wanavyotuhitaji sisi.

Amefikia mahali kuthubutu kuangalia namna ya uchimbaji wa madini hifadhini bila kuangalia athari zake

Anaamini sector binafsi ikiimarika serikali itapata mapato, anahimiza sana kuzilea biashara, viwanda viendelee kusurvive

Anaamini ajira itatengenezwa na sector binafsi

Anaamini matatizo ya masikini yatamalizwa na matajiri/private sector ndio maana hotuba nzima kwa zaidi ya saa moja, zaidi ya robo tatu ya muda alikuwa akiwazungumzia private sector na kuwa brand kama watakatifu na kutumia au hakutumia kabisa muda kuwaongelea wananchi wa hali ya chini
Hebu niambie, ni lini uchumi wa public sector uliokoa nchi.

Mama yuko sahihi nyinyi ndiyo mlitaka kuturudisha kwenye ujima.
 
Gesi nahisi ilitoka kwa usimamizi mahsusi wa JWTZ chini ya mstaafu wa 4..JPM huna cha kumsingizia hapa ..nyie jamaa komedi sana
We tunakufahamu muda mrefu.
Ni mgalatia unaependa sana wali wa maulidini.
Kaa mbali na sisi. Na hilo jina ulilochagua utakuja dhurika.
Majina km hayo kwa wapika vimpumu lzm uondoke na kidere.
Shauri yako alfonso magdalena.
Usijesema hukuonywa.
 
Back
Top Bottom