kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,624
Maalim ulamaa The Big Show.Kwan mm namsingizia KWA kipi mfano,
Kwan uongo katika utawala wake watumish wa umma wameish kama mashetani?
Kwan ni uongo kuwa wafanyabiashara wamefunga biashara na wengine kukimbia nchi?
Kwani uongo kuwa ameua soko la korosho KWA wamakonde na wakulima wengine?
Uongo kuwa ameminya uhuru wa vyombo vya habari na democracy,
Ana case ya kujibu
Huyu muefeso asikupe tabu.
Hawa ndio Walee waliomsaliti Yesu kabla jogoo kuwika mara 3.
Huyu kasaliti watu wake jogoo la kwanza tu.
Mpotezee. Hana kheri