Sikiliza na download wimbo mpya wa Ali Kiba - Mwana

Kutokuwa bize na local media ndio kutokujuwa nyimbo bora ni ipi?

Mimi JF ndio source yangu kubwa ya habari za nyumbani kuliko redio na magazeti.

Hizo nyimbo zilianza kuwekwa hapa Jf kabla ata hazijafikia radio nyingi..Nenda jukwaa la entertainment utazukita.
 
Kwahiyo ukizipost hapa ndio lazima mimi nizione? wewe umeona vyote vilivyopostiwa hapa? au unadhani kila mtu ni mvaa mlegezo?

Toka hapa kubali tu haya sio mambo yako,ubize gani huo hata mda wa kudownload vimp3 viwili umekosa
 
Toka hapa kubali tu haya sio mambo yako,ubize gani huo hata mda wa kudownload vimp3 viwili umekosa
Nimetoka mkuu ni kweli haya siyo mambo yangu hata mtoto wangu hapa anasikilizaw nyimbo ya Ally Kiba na hata jina siijui lakini ni nzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom