Sikiliza na download wimbo mpya wa Ali Kiba - Mwana

Sio shabiki wa diamond
Siamini kuwa anadeserve misifa anayoogeshwa nayo
Sio mwanamuziki bora kwangu
ILA Ally K ameniangusha!
huo mwanadaresalama kwa aina ya muziki wa kuita mashabiki asee hapana!hapana katika vingi mnooooo!
nachelea kusema kumwambia kuwa kwa wimbo huu asitegemee KABISA kuteka wanaoamini diamond ndo the best!
wataendelea kuamini hivyo TUU kiba,ilikuwajeee?
ulipotezaje ile nafasi ya kuimba wimbo na R.kellt,fally Ipupa,2face Idibia?
wat happened?
hukuwa wa kushindanishwa na diamond leo hii brother!
wacha vibaya vionekane vizuri maana vizuri havijijui vilivyo vya thamani!
 
we hakuna wmbo mtamu kama wa mkubwa na wanawe
Mkuu Awe2 kumbe washabiki wa muziki wa dance tupo wengi eeh! Mimi yule Malomboso anavyo imba !
Yamoto ya moto band ,Yamoto ya moto mkubwa na wanae!
 
Last edited by a moderator:
Sio shabiki wa diamond
Siamini kuwa anadeserve misifa anayoogeshwa nayo
Sio mwanamuziki bora kwangu
ILA Ally K ameniangusha!
huo mwanadaresalama kwa aina ya muziki wa kuita mashabiki asee hapana!hapana katika vingi mnooooo!
nachelea kusema kumwambia kuwa kwa wimbo huu asitegemee KABISA kuteka wanaoamini diamond ndo the best!
wataendelea kuamini hivyo TUU kiba,ilikuwajeee?
ulipotezaje ile nafasi ya kuimba wimbo na R.kellt,fally Ipupa,2face Idibia?
wat happened?
hukuwa wa kushindanishwa na diamond leo hii brother!
wacha vibaya vionekane vizuri maana vizuri havijijui vilivyo vya thamani!
Shikamoo Mwl snowhite! Waingereza wanasema Unapo nishangilia ninapo ongea mambo ambayo yana kufurahisha, usisahau kunisahangilia ninapo ongea mambo yasiyo kufurahisha!

Hakika Kuna kaukweli nakaona hapa!
Huu ni msumari wa moto! Kwa kweli Alikiba hakupaswa kufikia stage ya kushindanishwa na Diamond!

Aly ni msanii mzuri wimbo alioutoa ni mzuri sana lakini kila ninapo usikia sioni uwezo wa wimbo kushinda mapambano anayopewa na mashabiki labda kama Kuna wimbo mwingine!
 
Last edited by a moderator:
kama namuona kwenye tamsha la busara maana imekaa ki seiduu keita
 
Mashabiki bhana .....wanaweza wakawachonganisheni bila nyie kujijua.
Mtu kasifia nyimbo ya Kiba lakini mtu mwingine anakuja kuleta comparison na Diamond!
 
Helo wadau kati ya mwanaDar es Salaama na Kimasomaso, ipi kali? niweke ring tone katika simu yangu maana zote nazipenda hadi zinanichanganya
 
Mwana ndo habari ya mujini,mimi nlishaweka tokea ulivotoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom