Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,520
- 65,188
Hahhhhhhhhaaaa hiyo nyimbo kaleee kinomaaaaa
Wewe si team ndomo jamani?ata ivo respect kwako unajua mziki mzuri
Hahhhhhhhhaaaa hiyo nyimbo kaleee kinomaaaaa
Wewe si team ndomo jamani?ata ivo respect kwako unajua mziki mzuri
View attachment 173686 sina team nawakilisha tu
Wamekuletea nyumbani?
Kwani we ndo pozeo la Ali Kiba?
Kwani we ndo pozeo la Ali Kiba?
Kama kumpenda Kiba nimekua kipozeo chake basi wewe kipozeo cha ndomo
humpendi aly km warumi asivyompenda diamond
kazi ipoo
Umekubali kuwa we ni pozeo? Me not.
Hujielewi wewe,wapi nilipokubali?kweli leo nimeamini 90% ya mashabiki wa ndomo ni mamburula
Mi sina team nasifia napoona panafaa kusifiwaaa
No, mi hapa nacheka jinsi watu walivyokuwa pissed off kwa vitu visivyowahusu. It's funny for me when people spend their whole life on internen and commenting on every thing about bongo fleva and bongo movie like they get their life in it.
Watu wanalazimisha kwa nguvu zao zooooote hii nyimbo iwe nzuri.
we unatafutaga nini humu?Why are you pissed off? Kiba anakulipa, or don't you have a life?
dah nashindwa kukaa zaidi ya dakika10 bila kuisikiliza hii mwana daresalaam. Mpaka sasa nimeisikiliza zaidi ya mara1000 since the official release....man walter umeua mbayaaa....shikamoo ali kiba
Mimi nimeusikiliza mara moja hata sijamaliza mpaka mwisho haujanivutia unaboa kuusikikiza yaani
Acha wivu wa kiform 2!