Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
ivi tuulize tuu kosa ni la kusajili meli au ni la waliokamatwa na bangi? mbona TANGANYIKA magari yote yanafanya kazi ya ujambazi hawalaumiwi sumatra?Watanganyika punguzeni chuki kwa visiwa hivi, hususani vyombo vya habar ambavo vinapandikiza chuki kwenye jamii.
Mume ni Tanganyika baada ya kuoa akabidili jina, badala ya mke kupewa jina la Mrs Tanganyika, bali ni Tanganyika ndio ikabadili jina kwa kuliongeza jina la mkewe Zan baada ya Tanza!.Pasco, hayo ya ndoa ya 'kikristo' yanatosha kumcharua mkeo akakimbilia maporini. Bado ya nani mke nani mume. Huu muungano unachosha na sijui option ya nyumba ndogo itaingiaje hapo.
Wanajua bandiko lina nini na hawana hoja ila vioja. Sisi tutaendelea kuwapa dozi kuelekea Tanganyika huru. Matter of time
Mbona bara SUMATRA ambayo husajili meli haina kashfa kama hizi? Mie nashauri Sumatra ndio wafanye hizi kazi kwani niwaatalamu waliobobea tofauti na znz:shut-mouth:
Mwanaume yeyote atakae ahidi kusaidia talaka kupatikana basi mke huyu yupo tayari kumsaidia aiangamizi familia ya mumeMume ni Tanganyika baada ya kuoa akabidili jina, badala ya mke kupewa jina la Mrs Tanganyika, bali ni Tanganyika ndio ikabadili jina kwa kuliongeza jina la mkewe Zan baada ya Tanza!.
Baada ya ndoa mke alianza vituko!, mume akavumilia!.
Mke atatembea nje ya ndoa (OIC), mume akamsamehe!.
Mke akauvua ushungi kwa kupepesha bendera yake, mume amevumilia.
Mke ameivua pete ya ndoa kwa kufanya mabadiliko ya katiba yake, mume, amevumilia.
Mke akaanza vituko hivi na vile ikiwamo kuwatendea visivyo ndugu wa mume (kuchoma makanisa, kumuua padri etc), mume amevumilia!.
Sasa ameanza vituko vya kudai talaka!, kuna taarifa za siri kuwa mke kapa "bwana wa Kiarabu!" anayemchagiza adai talaka na akishaachwa, bwana huyo wa Kiarabu, atamua na kumleta kila kitu!.
Ni kufuatia kumpenda mkewe kwa dhati, baada ya taarifa za "bwana wa kiarabu", mume kaamua ku "mprotect" mkewe kwa kuvumila yote ili kumuepusha na kuolewa na huyo "mwarabu" ili asije .... (si unayajua mambo ya waarabu!).
Ni kufuatia upendo huo mkuu ndio maana tumedharia kuidumisha hii ndoa kwa gharama yoyote!.
Pasco.
Mume ni Tanganyika baada ya kuoa akabidili jina, badala ya mke kupewa jina la Mrs Tanganyika, bali ni Tanganyika ndio ikabadili jina kwa kuliongeza jina la mkewe Zan baada ya Tanza!.
Baada ya ndoa mke alianza vituko!, mume akavumilia!.
Mke atatembea nje ya ndoa (OIC), mume akamsamehe!.
Mke akauvua ushungi kwa kupepesha bendera yake, mume amevumilia.
Mke ameivua pete ya ndoa kwa kufanya mabadiliko ya katiba yake, mume, amevumilia.
Mke akaanza vituko hivi na vile ikiwamo kuwatendea visivyo ndugu wa mume (kuchoma makanisa, kumuua padri etc), mume amevumilia!.
Sasa ameanza vituko vya kudai talaka!, kuna taarifa za siri kuwa mke kapa "bwana wa Kiarabu!" anayemchagiza adai talaka na akishaachwa, bwana huyo wa Kiarabu, atamua na kumleta kila kitu!.
Ni kufuatia kumpenda mkewe kwa dhati, baada ya taarifa za "bwana wa kiarabu", mume kaamua ku "mprotect" mkewe kwa kuvumila yote ili kumuepusha na kuolewa na huyo "mwarabu" ili asije .... (si unayajua mambo ya waarabu!).
Ni kufuatia upendo huo mkuu ndio maana tumedharia kuidumisha hii ndoa kwa gharama yoyote!.
Pasco.
Tatizo lake ni kwanini habariimeandikwa magazetini wala si zigo la bangi la tani 30 zilizokamatwa.
Hawa ndio wanabughudhiwa na meli ya Tanzania kukamatwa na bangi?
Hii ni moja ya mkanganyiko wa Muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar. Muungano huu umejaa utapeli na ulaghai kiasi kuna mambo mengi yapo kinyume kinyume. Miungano mingi Federal Law ina supersede states law. Nchi moja ina Marais wawili, makamu watatu, ni gharama nyingi sana kuwahudumia hawa viongozi. Kama muungano huu ungebaki na serikali tatu, Rais mmoja wa JMT na mawaziri wakuu wawili Bara na Visiwani. Kila state ingekuwa na sharia zake, lakini federal law ndio top. Wote mnaoutetea muungano huu wa Tanzania mna matatizo vichwani mwenuNdugu yangu Nguruvi, Zanzibar ni ya Wazanzibari na Tanzania ni ya Watanzania wote; Wazanzibari wanataka kuwa na mamlaka kamili kwa kadiri ya kwamba mamlaka hayo kamili yamejificha ndani ya Muungano. Jambo la kwanza ambalo Wazanzibari walitakiwa kufanya ni kujiunga na chombo cha vyombo vya majini cha kimataifa ili waweke bendera yao halafu waanze kurusha bendera yao.
Ndio maana wengine tulipata ahueni kidogo baada ya tukio la watu kumwagiwa Tindikali vyombo vyote vya kimataifa vilisema hilo limetokea "Zanzibar"! ...
Sasa haya ni malalamiko au lawama? Kama malalamiko ,unamlalamikia nani? Kama lawama unamlaumu nani? Waznz walio wengi wanataka mamlaka kamili ili mambo yao wayafanye kwa ukamilifu...Huu unafiki wa kuendelea kulinda muungano kwa nguvu zote ndio unokusumbueni.Zanzibar ilijitoa katika sheria za Jamhuri ya muungano ya usafiri wa majini ya mwaka 2003 na kuunda sheria yake ya bahari na usafiri ya mwaka 2006 na kuanzisha chombo chao, Zanzibar Maritime authority((ZMA) 2006.
ZMA haijaandikishwa na shirika la International Maritime organization(IMO) isipokuwa kupitia Jamhuri ya muungano wa Tanzania(JMT) ambayo inalipa ada za usajili. JMT haipati mapato kutoka ZMA au biashara zinazotokana.
Meli ilizosajili Zanzibar ni 400 kupitia wakala wake aiyeko Dubai kampuni ya Philatex. Mapato yatokanayo huingia SMZ na JMT haipati chochote isipokuwa jukumu la kulipa ada kwa chombo huru na chenye mamlaka kamili cha SMZ
Mwezi June meli zilizosajiliwa na Zanzibar zilikiuka vikwazo vya UN kwa kusafirisha mizigo ya Iran na kuiweka JMT katika wakati mgumu ikiwa ni pamoja na kuwekewa vikwazo vya uchumi.
Wiki hii meli yenye tani 30 zenye thamani ya bilioni milioni 125 zikiwa zimesajiliwa na ZMA chombo cha SMZ imekamatwa huko Italia. Hiyo ni sehemu tu ya meli mbovu ambazo zimesajiliwa. Umoja wa Ulaya (EU) umeiweka Tanzania katika nchi zenye vyombo hatari vya majini na vinavyohitaji ukaguzi.(Siyo SMZ ni JMT).
Ikumbukwe SMZ ilishajitoa kuhusu masuala ya usafiri wa majini tangu mwaka 2006 na kuwa na mamlaka kamili
Jana waziri wa mawasiliano na miundo mbinu wa SMZ Rashid Seif suleiman amevilaumu vyombo vya habari vya Tanzania BARA kuhusu kuandika habari hizo. http://www.habarileo.co.tz/index.ph...meli-zilizosajili-zanzibar-zaichafua-tanzania na http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/22134-katiba-still-a-thorny-issue
Waziri wa SMZ haoni tatizo la kusafirisha mzigo wa bangi lilivyoichafua JMT ambayo Zanzibar ilishajitoa katika sheria na kuanzisha ZMA ila anaona tatizo habari hizo kuandikwa
Waziri Mwakyembe wa JMT ameingilia kati kufuatilia kadhia hiyo kwasababu Tanzania ndiyo yenye bendera na usajili wa IMO (Siyo meli) inakabliwa na kibano cha kimataifa kama ilivyokuwa kwa meli za Iran.
Gharama za ZMA kule IMO zinalipwa na JMT na waziri anatumia muda na gharama za JMT kuzuia uharibifu wa meli yenye mzigo wa Bangi ya SMZ.
Waziri huyo wa miundo mbinu wa SMZ alikaririwa na gazeti jana akisema faini inayotokana na kukiuka mkataba kati ya wenye meli na SMZ ambayo ni dollar 500,000 italipwa kwa SMZ(Siyo JMT)
Nilidhani waziri wa SMZ alitakiwa aeleze nini kimetokea hadi mzigo wa bangi tani 30 ukamatwe kwa jina la nchi ya Tanzania (Siyo Zanzibar)huku tukifahamu mapato yatokanyo na shughuli za meli hizo ikiwa ni pamoja na faini tarajiwa ni ya SMZ.
Ninajiuliza:
1. Kama Zanzibar ilishajitoa na kuanzisha ZMA kwanini meli zake hazisajiliwi na SMZ tukijua wana bendera yao
2. Kwanini kodi ya JMT ambayo ni ya Mtanganyika itumike kuhudumia shughuli za SMZ
3.Kwanini waziri Mwakyembe ashughulikie suala hili ambalo si la muungano
4. Je waziri Mh Suleiman wa SMZ anajua madhara yatakayomkumba Mtanganyika kutokana na biashara ya SMZ ambayo haimhusu kwa namna yoyote?
5. Kuna tatizo gani vyombo vya habari kuandika kuhusu kakamatwa kwa mzigo wa biashara wa meli zilizosajiliwa na ZMA ambacho ni chombo halali cha SMZ? Vyombo vya habari vimekosea nini na wapi?
Hebu tuellimishane kwa pamoja wanajamvi wote
JokaKuu GHIBUU Nonda Mzee Mwanakjiji Mchambuzi Jasusi EMT Ngongo platozoom Barubaru Zitto Mnyika Ritz chama Mkirua Zinedine AshaDii gfsonwin The Bigshow Kimweri Fundi Mchundo Bongolander
Ahsanteni
Ulichoongea hakifanani na jina lako....Mambo yao ya zanzibar waachieni wenyewe nyinyi hayakuhusuni mbona mnawabana kwenye mambo mengi sana
Hii ni moja ya mkanganyiko wa Muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar. Muungano huu umejaa utapeli na ulaghai kiasi kuna mambo mengi yapo kinyume kinyume. Miungano mingi Federal Law ina supersede states law. Nchi moja ina Marais wawili, makamu watatu, ni gharama nyingi sana kuwahudumia hawa viongozi. Kama muungano huu ungebaki na serikali tatu, Rais mmoja wa JMT na mawaziri wakuu wawili Bara na Visiwani. Kila state ingekuwa na sharia zake, lakini federal law ndio top. Wote mnaoutetea muungano huu wa Tanzania mna matatizo vichwani mwenu
N akutumia bendera ya JMT kufungia tani za bangi nalo linahitaji Tanganyika irudi? Kwanini wasifungie na bendera ya znz ambayo imepugiwa kelele sana kuwa ipo na inagfanya kazi. Real! Kwanini BAYAZA imuathiri mtu wa matombo Morogoro?Sasa haya ni malalamiko au lawama? Kama malalamiko ,unamlalamikia nani? Kama lawama unamlaumu nani? Waznz walio wengi wanataka mamlaka kamili ili mambo yao wayafanye kwa ukamilifu...Huu unafiki wa kuendelea kulinda muungano kwa nguvu zote ndio unokusumbueni.
Kwanza rudisheni Tanganyika ,baadae tutaelewa kama Zanzibar ilitumia kodi ya mtanganyika. Kodi ya muungano ,si ya mtanganyika itabakia kuwa kodi ya muungano. BILA YA KUWEPO KWA TANGANYIKA ,HUU UTAENDELEA KUWA UNAFIKI WA KISIASA WA KITANGANYIKA.
kabla ya hao niliowataja nimeandika haya ''Hebu tuelimishane kwa pamoja wanajamvi wote'' nenda katika bandiko.Hawa ndio wanabughudhiwa na meli ya Tanzania kukamatwa na bangi?
Badala ya kutafuta support ya wengi as possible kwenye mitandao ya jamii ili isukume ujumbe mbele unachagua wapenzi wako kumi wakuchangia. Ungewatumia private message basi! Pinheaded diva club.
Tunawatakia heri sana katika maendeleo. Kama wangetumia bendera ya znz kungalikuwa na tatizo gani? Kama wangelipa ada zao IMO kungalikuwa na tatizo gani? Leo SMZ si ingesafirisha tani za bangi bila hofu na kwa mamlaka kamili!!
Kinachotuudhi na kutukera ni madhara yanayotokana na uchafu wa Zanzibar. Meli za Iran jumuiya ya kimataifa ilishaanza kutunyooshea vidole. Vikwazo vingekuwa zigo la Mtanganyika na wala si maendeleo ya mzanzibar.
Leo dunia nzima inajua JMT inauza bangi, kumbe ni bangi la SMZ kwa maendeleo ya ZNZ.
Ndio maana tunasema mlitaka wimbo wa taifa na bendera, sasa kama hamzirtumii katika shughuli zenu kama hizi za meli mnazitumia wapi?
FYI, Kamati ya mzee Moyo inataka hata passpoert za znz ziwe na jina Tanzania. BAKAZA ya profesa Sheriff inataka makao makuu ya JMT yawe ZNZ.
Maalim na kamati yake wanataka muungano wa mkataba.
Sasa unaposema tuachie znz kwanini nani kaishikilia? Hata mlipoanzisha ZMA ambayo hamlipi ada nani aliwazuia. Mkaanzisha vikosi vya ulinzi nani amewazuia. Baraza la mitihani nani kawazuia?
Lakini mpango wa kujibanza kama suala la ulinzi na usalama hilo litawazuia. Huwezi kulala kwa mamlaka kamili hali ya kuwa ulinzi wako unatoka kwa Jirani. Tanganyika ipo njiani na hilo halitatokea.
Si kweli, BAKAZA, Maridhiano, Uamsho ambazo ni vuisemeo vya wazanzibar hakuna hata mmoja aliyewahi kusema hataki muungano. Tena Mansour, Jusa na Moyo tarehe 6 Oktoba pale bwawani walitamka wanataka muungano. Weweuna nini zaidi ya hao?The union of tanganyika and zanzibar before 1964.Tanganyika and zanzibar were two independent and separate nations with different leaders get it into your little head unajua why was it neccessary for the two countries to unite?kulikuwa na sababu za msingi moja wapo peace and security na commercial and economic reasons unity sasa na watu waloleta huu muungano hawapo tena kwanini bado mnawataka tu muenao waznz na hawakutakeni nyinyi vilaza wa tanganyika?
Kuuza bangi kwa bendera ya JMT siyo yactics ni cowardness. Hakuna mahali duniani taifa linaweza kujivunia uhalifu wa namna hiyo.Mnawivu sana na znz na you can't do without znz huyo baba enu obama anasema msije kuiwacha znz lakini waznz watatumia skill na tactics zote mtakimbia wenyewe