gfsonwin nimefurahi kusikia niko kwenye baraza lako la wazee, safi sana kwa kuwa wazi kiasi hiki. Nadhani ni wengi tu humu ndani tuna classifications na imaginations zetu kibao kwa watu fulani fulani based on their comments and topics they present. Ukimwambia Smile na mwingine na mwingine nao watoe classification zao, unaweza kushangaa sana kwa variations na similarities zitakazojitokeza! But it all well that goes well!
Judgement aliyeko moyoni ni moyoni tu best hata ufanye nini nyway ni kwasababu mmezoea protocal but yeye anauhakika na nafasi yake kwangu so hashangai kwa hilo.SonWin si ukubali tu umebugisha protokali ?
Forexample
kuna Jeikei , Shein, Pinda, Mgimwa, Kombani, Meck Sadik, Beti Mkwasa, Rose Kirigini, then katika utambulisho uanzie kwa Kirigini umalizie kwa Jeikei ? Hata ukiweka sijui "Last bt not least" still yet umevuruga itifaki! Mie nifanye Binamu wako.
jamani naumwa mkono siwezi kuandika...
Unaonekana una tatizo la Rhumatisms Trautomasms effections! Ningekuja ulipo bt namie naumwa Kiuno!
So come to my place nikupe matizi ya kuchezea vitu laiiynii !
It's the only cure!
Kongosho unam imagine vipi mkuu?
jamani naumwa mkono siwezi kuandika...