sijui wewe ungependa uwe nani.........?

jamani mia uwe malima sijakuelewa au ndo uwe mlinzi? basi mimi nakupa nafasi ya kuwa kwenye kundi la rafiki zangu wa kiume. au wee uwe pedezsheee. mmm! ila hapa nitagombana na Kaizer bure?

Mmh Da Asha analijua hilo?
Kaizer hebu uje kutoa maelezo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
wewe Judgement hebu cha kumdanganya mdogo wangu lolz. Hayo mazoez ya kuchezea vitu laini ndio dawa? na vitu ganai hivyo laini?

Mbona vingi ?
Kwa kuanzia ataanza kuchezeachezea Nyanya. Parachichi with related matter !
 
Last edited by a moderator:
Mbona vingi ?
Kwa kuanzia ataanza kuchezeachezea Nyanya. Parachichi with related matter !

lol nshakustukia wataka kumbaka mdogo wangu Smile mdogo wangu wa moyoni niskilize miye dada yako asikwambie anakuchua au nini mim ntakuletea dawa ma dia nikitoka kazini. wote hawa waongo
 
Last edited by a moderator:
Asante sana gfsonwin. Kutajwa hapo means a great deal to me... I am sincerely humbled. :grouphug:
 
aya ya ndani mwetu tusyasema hapa Erotica manake utashaanga ma pm yamejaa kuna watu wanatoa mimacho humu acha kabisa.

teh teh teh. dawa yao ndogo. unampa pw papito Kaizer awajibu.

au fuata system yangu, by default pm zangu zinajibiwa automatikale zikiingia.

chezeya pesa ww. hio service ninayo Fisadi Ero tu hapa jf. usiogope mamito. :tonguez:
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. dawa yao ndogo. unampa pw papito Kaizer awajibu.

au fuata system yangu, by default pm zangu zinajibiwa automatikale zikiingia.

chezeya pesa ww. hio service ninayo Fisadi Ero tu hapa jf. usiogope mamito. :tonguez:

nakuamni sana fisadi Ero, ngoja tuwafundishe mambo ya mjini sisi magwiji wa jiji.
this wk end nimekuja na staili mpya inayotwa mfyonzo hii ni kiboko ya zote.
 
wa moyo awepo popote pale yuko ndani zaid. haya nieleze wewe ni nani kwangu jamani? nitakiheshimu kweli cheo chako
gfsonwin ahsante sana kwa kunipa nafasi kubwa ndani ya moyo wako......wewe pia una nafasi yako tena kubwa sana.....daah nikisema sana ntaharibu uhondo uliopo...... mi penda wewe thana jamani! Ubarikiwe sana mpendwa!.....:hug:
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. dawa yao ndogo. unampa pw papito Kaizer awajibu.

au fuata system yangu, by default pm zangu zinajibiwa automatikale zikiingia.

chezeya pesa ww. hio service ninayo Fisadi Ero tu hapa jf. usiogope mamito. :tonguez:

Hehehehe...... Erotica kwa mkwara bana lol......umenionea wapi asali wa moyo klorokwini?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin ahsante sana kwa kunipa nafasi kubwa ndani ya moyo wako......wewe pia una nafasi yako tena kubwa sana.....daah nikisema sana ntaharibu uhondo uliopo...... mi penda wewe thana jamani! Ubarikiwe sana mpendwa!.....:hug:
sweetlady nakushukuru sana, basi tunapendana eti eeh!..........wenye wivu sasa utawaona.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom