sijui wewe ungependa uwe nani.........?

sijui wewe ungependa uwe nani.........?

ushanichanganya gfsonwin. nitonye basi..... niitumie weekend hii.

eeh! jamani sasa hii uitoe kwa mtu ambaye aonyesha hata nia ya kuhonga fukwe au ghorofa siyo kwa vitz kama Bishanga.
manjonjo yake nita kupm manake hapa lol siyo penyewe kabisaa nina wadogo humu nisije wakuza bure?
 
Last edited by a moderator:
baba watoto safari hii alikuwa na msululu wa watu wa kumega.

yupo wa mwisho soon atarudi. safari hii hadi mm nimemumiso klorokwini wangu

Hahahaha......wivu sina ila roho inauma Erotica.....haya mapenzi ya kushea yanakondesha sana asee.....akirudi mie naanza zamu afu ndio wewe sawa eeh?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin mie na wewe tena ?????.... tunapendana zaidi ya sana ......wenye wivu huwa hawakosekani ila hapa watakwaa kisiki cha mpingo lol.....

umeona eeh! waambie wataisoma namba ya kegete this time.............sisi kwetu twapendana kwa dhati pasi unafiki.
 
nakuamni sana fisadi Ero, ngoja tuwafundishe mambo ya mjini sisi magwiji wa jiji.
this wk end nimekuja na staili mpya inayotwa mfyonzo hii ni kiboko ya zote.

Hii staili hakikisha unanifundisha na mimi.....inaelekea ni nzuri gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
eeh! jamani sasa hii uitoe kwa mtu ambaye aonyesha hata nia ya kuhonga fukwe au ghorofa siyo kwa vitz kama Bishanga.
manjonjo yake nita kupm manake hapa lol siyo penyewe kabisaa nina wadogo humu nisije wakuza bure?

teh teh teh. mie ninaetaka nimpatie ananipa zaidi ya yote hayo. ananipa his trust.

kwangu mie hio ni major. wote huwa hawamuamini Ero, wanaona mchakariko sana.
 
Hahahaha......wivu sina ila roho inauma Erotica.....haya mapenzi ya kushea yanakondesha sana asee.....akirudi mie naanza zamu afu ndio wewe sawa eeh?

mm na ww tena? mie najua wampenda kuliko hata nimpendavo. utaanza ww shosti wore not.
 
teh teh teh. mie ninaetaka nimpatie ananipa zaidi ya yote hayo. ananipa his trust.

kwangu mie hio ni major. wote huwa hawamuamini Ero, wanaona mchakariko sana.

hilo nalo neno basi mwaya nitakufundisha ila kweli lazima huyo umpaye awe ni mtu unaye mpend sana manake ina raha ya ajabu duniani lol tena kwa wote wawili.
 
eee kikufie tena! mmhhh kumbe niende kwa tahadhari, nisijeishia kwa lulu segerea! lol.
Asprin nikababu bwana wewe cacico ujana ale na wachaga wenzie eda amletee nani? mwaya tafuta ingizo jipya kabisa kama vile ambavyo mimi nilichagua Kaizer. watafuta eda ukiwa segerea eeh!
 
Last edited by a moderator:
hilo nalo neno basi mwaya nitakufundisha ila kweli lazima huyo umpaye awe ni mtu unaye mpend sana manake ina raha ya ajabu duniani lol tena kwa wote wawili.

ndo ujue sasa. mweeee. umenil****ha. nasubir kwa ham.
 
shostito kwani ni siri kuwa siye tunafanya na wengine? ingekuwa siri hata ww nisingekujua basi. teh teh

Usiseme sana gfsonwin atasikia......afu hapa tuko jukwaa la watakatifu so puliz keep quiet!....
:teeth:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom