sijui wewe ungependa uwe nani.........?

gfsonwin asante sana kwa kuwa moja ya wazee wenzako.
Ni furaha sana kujua jinsi gani mtu/watu wana kuona katika
mazingira flani,.....japo tupo "mafichoni" huu ni upendeleo mkubwa kwangu.
Asante sana.

you deserve it Speaker. you are mostly welcome
 
Last edited by a moderator:
wana jf ni asbh kazi zinaenda na misuli inabana ila naona niwaletee wafuato na nafasi zao katika moyo wangu na maisha yangu,
Smile LEVEL, Eiyer babe S hawa ni wadogo zangu wa moyoni nawapenda sana. and i will always be there for them. Preta charminglady Cantalisia Kaunga @Smillinggairl sweetlady Kipipi Roulette BADILI TABIA Mwanajamii one hawa ni my true female friends. mnanafasi kubwa moyoni mwangu
Zinduna huyu ni kungwi na nyakanga mwenzangu.
AshaDii Mama Ngina hawa ni mama ushauri wenzangu
Kongosho Erotica hawa ni wazee wa site kama mimi so siri zetu tutaambiana chumbani.
Asprin Dark City cartura mito Speaker Mtambuzi BAK Bishanga( ila ingawa nilikusuta sana lkn unathamani sana kwangu) hawa niwazee wenzangu wa baraza.

Mr. Rocky Bazazi boss hawa ni male friends wangu. they are ma true brothers.
Maprucino MziziMkavu hawa ni madaktari wangu
Kaizer huyu ni wa moyo wangu

ambao sijawataja nawapenda sana so niambieni ninyi ni nani kwangu kila mtu kwa cheo chake ama ambaye kaona cheo chake kwangu siyo hicho naye pia aniambie. but real ilove jf.

Aksante gfsonwin kwa kuliweka hili hadharani. Sijaingia jamvini siku kadhaa na kama sio huyo SIMBAC HA WENE (SIMBAKI HER WENE!) nisingeiona hii.
 
Last edited by a moderator:
Aksante gfsonwin kwa kuliweka hili hadharani. Sijaingia jamvini siku kadhaa na kama sio huyo SIMBAC HA WENE (SIMBAKI HER WENE!) nisingeiona hii.

asnte sana ma true brother Bazazi. but naona boss kakataa cheo hiki sijui anataka kipi hebu nisaidie kumuuliza.
 
Last edited by a moderator:
mimi leo ningependa signal ya internet iwe juu.................lakini iko chini mno.........don't know who is sabotaging who?
 
Back
Top Bottom