sijui wewe ungependa uwe nani.........?

gfsonwin nimefurahi kusikia niko kwenye baraza lako la wazee, safi sana kwa kuwa wazi kiasi hiki. Nadhani ni wengi tu humu ndani tuna classifications na imaginations zetu kibao kwa watu fulani fulani based on their comments and topics they present. Ukimwambia Smile na mwingine na mwingine nao watoe classification zao, unaweza kushangaa sana kwa variations na similarities zitakazojitokeza! But it all well that goes well!

you deserve it mito
 
Last edited by a moderator:
jamani naumwa mkono siwezi kuandika...

jamani mdogo wangu Smile pole sana mummy. Lol naskitka sana kwa hilo ila ujue kila mja na jaribu lake na kuumwa ni njia ya kutibitisha auhai wako. Mungu akuafu ma dia. mimi penda wewe sana
 
Last edited by a moderator:
SonWin si ukubali tu umebugisha protokali ?
Forexample
kuna Jeikei , Shein, Pinda, Mgimwa, Kombani, Meck Sadik, Beti Mkwasa, Rose Kirigini, then katika utambulisho uanzie kwa Kirigini umalizie kwa Jeikei ? Hata ukiweka sijui "Last bt not least" still yet umevuruga itifaki! Mie nifanye Binamu wako.
Judgement aliyeko moyoni ni moyoni tu best hata ufanye nini nyway ni kwasababu mmezoea protocal but yeye anauhakika na nafasi yake kwangu so hashangai kwa hilo.
 
Last edited by a moderator:
jamani naumwa mkono siwezi kuandika...

Unaonekana una tatizo la Rhumatisms Trautomasms effections! Ningekuja ulipo bt namie naumwa Kiuno!
So come to my place nikupe matizi ya kuchezea vitu laiiynii !
It's the only cure!
 
Unaonekana una tatizo la Rhumatisms Trautomasms effections! Ningekuja ulipo bt namie naumwa Kiuno!
So come to my place nikupe matizi ya kuchezea vitu laiiynii !
It's the only cure!

wewe Judgement hebu cha kumdanganya mdogo wangu lolz. Hayo mazoez ya kuchezea vitu laini ndio dawa? na vitu ganai hivyo laini?
 
Last edited by a moderator:
mimi naomba niwe malima wako. mia

jamani mia uwe malima sijakuelewa au ndo uwe mlinzi? basi mimi nakupa nafasi ya kuwa kwenye kundi la rafiki zangu wa kiume. au wee uwe pedezsheee. mmm! ila hapa nitagombana na Kaizer bure?
 
Last edited by a moderator:
Mimi kiukweli gfsonwin ningependa sana uwe mke wangu wa pili. Si umeona Kongosho alichonitenda?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin I love u more my sister,ur the best ur always in my heart
 
Last edited by a moderator:
Asprin wewe sikuwez yaani ukitendwa ndani waja kutangaza jamvini lol! mmh! sijui Kongosho atakuambiaje manake umemshtaki jamvini.
Kaizer hawez kukubali na mimi mitala siiwezi.

propasal yako nimedisqualify ila naona kuna position nzuri ambayo ningeichukua nayo ni kuwa mshenga wa ndoa yako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom