Sijui tunaelekea wapi asee!

Sijui tunaelekea wapi asee!

Tunalaumu outcome bila kuhoji tumefikaje fikaje hapa.

Hili swali tuligeuze kwa wanaume, kwa dunia na mazingira ya sasa mngekuwa wanawake mngefanya nini?

Nazungumzia dunia ambayo mtu anakutongoza sasa hivi akulale baadae, au anakutongoza sasa hivi akakulale sasa hivi…..Option hapa ni moja tu kukataa au kumuuzia.

Mna complicate mambo, ni dunia tuliyojikuta tumo na haya yote tumeyasababisha sisi.

Waliooa waacheni wapeane bure maana kuna gharama kila mmoja alishaziingia kwa namna moja ama zingine.

Wale wanaodate for better future wanajua wafanyeje ili waendeshe mahusiano yao.

Ninyi mliobaki mambo yasiwe mengi, atakayemfuata mwenzie amlipe, dau la mtu mmoja litatofautiana na la mwingine Vigezo na masharti vikizingatiwa, Si ndio muda wa wanaume kujipandisha thamani na nyie 😂😂😂 naandika huku nacheka!

Wanaume jitulizeni msubiri kutongozwa muone kama mtaombwa hela.
 
Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?

That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine

Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.
Pole mkuu Dunia ipo kombo saiv
 
Mwaonaje Tz wanawake watulipie mahali wanaume kama India tu utamaduni ule safi sana maana tunakoelekea ni kwamoto sana zaidi hususani. Vizazi vyetu vya hiki kipindi cha mpito🤣🤣
 
Mapenzi pesa by Diamond ft. Nay wa mitego
 
Huyu anachanganya ngono na penzi.
 
Kwani tunakuwa wapenzi ili iweje?Ili tupostiane status ama?
Tofautisha mapenzi na ngono.

Unanua malaya mnafanya ngono, sio upendo. Unakuwa na rafiki wa kike kwa na mnavutiwa kuwa pamoja kwa mahusiano ya ngono na mambo mengine ya kijamii huyo ni mpenzi
 
Mwaonaje Tz wanawake watulipie mahali wanaume kama India tu utamaduni ule safi sana maana tunakoelekea ni kwamoto sana zaidi hususani. Vizazi vyetu vya hiki kipindi cha mpito🤣🤣
Kwasababu za kihistoria this is next to impossible.

Inabidi wanaume muanzishe movements ambayo itachukua decades. Kubadili dunia si kazi rahisi mkuu… Wanawake tangu tumeanza movement ya Feminism hatujafika hata nusu ya malengo hadi sasa.

You see!
 
Wewe mpe pesa anayotaka ili upate utamuu hayo mengine achana nayo ukimchunguza sana bata hutoweza kumla!
 
Dah, hatari sana. Na mimi nilihisi kuna kitu kama hicho.

Wenyewe wanafikiri wakifanya ngono basi wanapendana sana. Mpaka wanafikiri wanaweza kuoana. Lkn wakikaa juma moja au mwenzi mmoja wanavurugana mpaka basi. Wanatia huruma sana.
 
Kwasababu za kihistoria this is next to impossible.

Inabidi wanaume muanzishe movements ambayo itachukua decades. Kubadili dunia si kazi rahisi mkuu… Wanawake tangu tumeanza movement ya Feminism hatujafika hata nusu ya malengo hadi sasa.

You see!
Khaaaaaaaa kumbe bado mnacheza na robo😂
 
Mambo si marahisi 😂
Kwer noumaaaaaah nime experience ndani ya miaka kama Saba hivi na single mother lkn alikua haitaki nitoe huduma kwa mwanangu kwa kigezo wake sitompenda lkn kwangu haikua Ivo alikua mtu mwenye hasira na jazba mda wote sio anaependa kueleweshwa hivyo nimenyoosha Mikono juu 🙌tumeshindwana kwa kitu kidogo tu kuforce ndoa mda wote mpk kero
 
Ndo mana mi naenda moja kwa moja nakupa pesa unanipa kibox manyoya...sina mbambamba
 
Hizo ni tamaa za ngono na sio the uncontrollable impulsive obsession au wengi wanaita mapenzi. Kama kweli mkiwa na uncontrollable impulsive obsession with each other basi hamtoombana pesa. Technically mtakuwa mmegandana hata kama wote ni makapuku.

Alafu kiuhalisia wanaojiweza wengi ndio wana true TUIO sababu hawana shida na pesa.
 
Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?

That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine

Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.
Ndio miaka yetu hii. Kazi ipo.
 
Back
Top Bottom