The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,569
- 20,372
Toba. Shubamiti.Umba wako😎
Toba. Shubamiti.Umba wako😎
Naunga mkono hoja mwanamke akisema hauzi ila wakati huo huo anakwambia bila hela hakupi basi tambua huyo anakodisha sio kuuzaNyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?
That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine
Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.
WanakodishaHawauzi wala hawatoi bure, its like that. Akili kichwani mwako.
HatutakiAkiomba k anaona ana haki, ila akiombwa hela anaona anaonewa. Basi kila mtu abaki na Mali zake 😀
Hahaha!! Hii kama inaukweli flani hv."wakigundua una pesa hawakuombi wanaogopa kukupoteza"
kupanga ni kuchagua
MtajijuHatutaki
Tutanunua za wauzajiMtajiju
Kwani nani siyo muuzaji?Tutanunua za wauzaji
Pesa hamna mnalialiaTutanunua za wauzaji
Nyie wenye nazo mbona mnaomba ombaPesa hamna mnalialia
Kabeeeeeesa
Kwani kunipa k mpaka nikupe hela?huwezi nipa kwa upendo tu?Akiomba k anaona ana haki, ila akiombwa hela anaona anaonewa. Basi kila mtu abaki na Mali zake![]()

Umekula mchana lakini kijana...Katafute jukwaa la kupost huu upumbavu wako
Kwanza kabisa, penzi ni nini?
Unamaanisha nini unavyoandika "penzi"?