Sijui niolewe na yupi kati ya hawa...

Me upande wangu siwezi kumlaum kwa kusema kweli yake mambo kama hayo ni ya kawaida maaana huyu yeye kasema kweli lakini wapo wengi wenye wapenzi zaidi ya mmoja hata ww unayem,ponda huyu dada huna mpenzi mmoja so me nakushauri dada kumcgaua kati ya hao unaowapenda lakin usirudie kupoteza muda wa mtu kwani kila mmoja kati ya hao anamini ww ni wake peke yake wakati ww unajua wapo wawili so sitabia njema hata kidogo sababu hata ukiolewa ukizoea tabia hiyo utakuwa na mwanamme wa NjE YA nDOA
Hilo neno ndio lingekuwa sahihi kutumiwa na mleta mada, ili asaidiwe kuchaguliwa mchumba, ili aingie kwenye ndoa
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

Kama wamwjoseti wewe wapige pingu wote halafu uwapangie ratiba ya kukupa huduma. Hiyo ndiyo fursa sawa kwa wote in action.
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

topic nyingine niza kipuuzi sana hapa jf, kama hii
 
Back
Top Bottom